January Makamba: A New Generation Leader!

lol!, lol!,

Wewe, sasa umeanza kuwa kama kina yoyo...I might decide not to vote but, I'll be willing to work for either one...(the bodyguard)

Jamani si nataka kujua where I stand. Ili kama siyo mimi nianze kuku shawishi.
 
Yes Kelly!!!!!!!!!January is a leader,kwanza ametulia sana ukilinganisha na watoto wengi wa wakubwa tunaowajua!The guy is smart,ana uwezo wa kuongoza,elimu safi,personality bomba,hakurupuki anapoongea,na anajua anachoongea,wanaoponda kwa hoja hii ya Kelly ni walewale wanafiki wasiopenda kuona wenzao wanasifiwa!!KIZURI HUSIFIWA!!
 
Duh Kui nipigie kampeni basi naona jamaa anani piku kwa kura za wanawake lol. jamaa atawa disappoint wengi tu ngoja tuone.
 
JANUARY ni kiongozi mzuri,ni kijana aliyetulia tofauti na watoto wengi wa wakubwa,ana elimu safi,hakurupuki anapoongea!!kama hamtaki asifiwe poleni nyie!!!!!!!HABARI NDIYO HIYO!January tunakuombea Mungu akupe umri na afya njema,wengi tuko nyuma yako kukupa support
 
Duh Kui nipigie kampeni basi naona jamaa anani piku kwa kura za wanawake lol. jamaa atawa disappoint wengi tu ngoja tuone.

He might get 80% za kura za wanawake, itakuwa patashika nguo kuchanika..

The next Obama...Clinton!
 
JANUARY ni kiongozi mzuri,ni kijana aliyetulia tofauti na watoto wengi wa wakubwa,ana elimu safi,hakurupuki anapoongea!!kama hamtaki asifiwe poleni nyie!!!!!!!HABARI NDIYO HIYO!January tunakuombea Mungu akupe umri na afya njema,wengi tuko nyuma yako kukupa support

Eh dada mbona mipasho tena? We got the message the first time. Au?
 
Mwana Fa!hiyo sio mipasho ni kukueleza ukweli,au umeumia????usijali wangu na wewe jitahidi tutakusifia tu!
 
sio mipasho mwana fa,ni kujaribu kukueleza ukweli,hata wewe kama uko smart upstairs tutakusifia tu wanguu!!!ah lakini hata wanaume hampendani??????
 
Mwana Fa!hiyo sio mipasho ni kukueleza ukweli,au umeumia????usijali wangu na wewe jitahidi tutakusifia tu!

Haha iniume wapi dada angu? Wala sina shida ya kusifiwa. You have every right kumsifia hauja katazwa dada endelea kupaisha. Itaniumaje wakati the guy is doing good? Maybe ningeona sura za wanao msifia ndiyo ningeona wivu....maybe hahaha
 
We are fiiiiine, trust me...
 
Back
Top Bottom