Januari 22, 19..

Januari 22, 19..

hongereni jamani.... Heri ya siku ya kuzaliwa! Mie bado sijampata wangu ngoja ikifika siku yangu yakuzaliwa nitategesha leba atakae zaliwa tu atakuwa pacha angu

Asante. Keep on waiting, atakuja muda ukifika.
 
Hongera sana Muheshimiwa! Maisha matamu asikwambie mtu! By the way ni mafupi sana!
Everyone here his days are numberd!
 
A Father .... hebu mention zawadi yoyote nikumvuzishie kwa western union!

happy birth-day 90's young man!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom