Januari 22, 19..

Januari 22, 19..

Ninamshukuru Muumba ulimwengu na vyote vilivyomo, vinavyoonekana na visivyoonekana.Tarehe kama hiyo hapo juu,mwaka fulani uliopita siku nyingi nilizaliwa,siku za kuishi zinaendelea kupungua.
Pia ninamuomba Yeye(Muumba ulimwengu na vyote vilivyomo, vinavyoonekana na visivyoonekana) atujaalie maisha mema, atuongoze katika njia iliyonyooka na atujaalie mwisho mwema. Aameen.

Kumbe tuna-share mkuu.Hongera kwetu siye.Nasema hivi "MAWAHESHIMU WANAWAKE,WALIOZAA NA AMBAO BADO HAWAJAZAA"Jana nimeitumia kwa kutafakari sn na kuangalia mustakibari wa maisha yng ya badae.Nakupenda mama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom