Elections 2010 'Janja' yamuokoa JK Karatu

We need independent journalism in this country jamani.

Uhuru mali ya serikali wanadai Kafunika

Tanzania Daima mali ya Mbowe wanadai kasomba watu.

sisi wadau tusiofungamana na upande wowote--are the truest victims. Uhanithi huu. IPP Media haileweki, Mwananchi obviously is biased towards Chadema, Majira asavali kidogo. Mtanzania/Rai kapuni mwa CCM. Raia Mwema kapuni mwa Chadema. Kununua magazeti ya ukweli siku hizi si shughuli ndogo.
 
Wacheza ngoma na wanakwaya walisombwa na malori ya Fuso toka Endalah. CCM ipunguze upakiaji kwenye malori kama wanavyofanya visiwani ni kuhatarisha maisha ya wapiga kura na wananchi kwa ujumla. Tunajua kura za Karatu zinaenda CHADEMA.
 
nilikuwepo karatu,jana kuanzia saa tano yalionekana makundi ya watu wenyji wa karatu wakilekea katika mkutano wakiwa na fulana na kijana na kofia na wengine wakiwa na vitenge,nilichoma nyama ule kwenye baa ya mwenykiti wa halmashauri ambaye ni chadema hakukuwa na watu nikauliza wako wapi nikaelezwa wameelekea mkutanoni na nusu ya no la mji lilikuwa kama usiku wa manane,gesti hazikujaa kama inavyodaiwa ni kweli kulikuwa na mashabiki kutoka arusha,mto wa mbu na monduli lakini si wa kujaza mkutano kama inavodaiwa kujaza ule mkutano si chini ya mabasi hamsini,na leo asubuhi nimekuta robo tatu ya wapiga debe wamkula tshirt za kijana na kofia za ccm,karatu wengi hamuijuhi wao siku zote wanasema usikatae wito bali kataa ombi-wako tayari kuhudhuria mkutano wa kila mtu
 
Back
Top Bottom