Janja ya Membe yabainika: Kumbe ni Uwaziri Mkuu

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
wadau!
Ule usemi usemao si kila jogoo akiwika ni asubuhi hili limedhihirika
Kama mnakumbuka wazir wa mambo ya nje Mh Benard Membe amwkuwa akihangaika kila awezalo ili akawe mgombea urais kwa kupitia chama cha mapinduzi.

Nimepata habar asubuhi kwa mtu aliyekaribu yake na ambaye amekuwa akimtumia kwa shughuli zake za kampeni kuwa lengo la yeye kupambana kufa na kupona si kwa ajili ya kuwa rais wa tanzania lengo ni kupata uwazir mkuu wa tanzania,habar zaidi zinasema amekuwa akisema wazi nguvu ya mh lowassa kweny chama ni kubwa kiasi kwamba imekuwa vigumu kwani kila wafanyalo linavuja.

Mtu huyo anasema mh membe amekir na kusema kupambana na lowassa ni sawa na kupambna na upepo kwani amekuwa haonekani lakin mashambulizi yanakuwa makubwa kila uchao.

Ngoja tuone huu mziki naona unazidi kuwa mkubwa kila pakuchapo,tukaemkao tutaona mengi
 
...mapanya ni mapanya tu,sijui lipi dume na lipi jike....
 
Sasa uwaziri mkuu nao unahitaji kampeni? Au ipo katika rasimu ya katiba mpya?
 
Tutasikia mambo mengi zaidi mwaka huu na mwakani
 
Makundi ya ccm yako bize sana kushambuliana kwa kuwekeana maneno midomoni.
 
Kamwe lowassa hawezi mpa mpuuzi kama membe uwazir mkuu
Membe kinachompa kiburi ni ile ya gadafi ya kujenga misikiti
 
Mtu huyo anasema mh membe amekir na kusema kupambana na lowassa ni sawa na kupambna na upepo kwani amekuwa haonekani lakin mashambulizi yanakuwa makubwa kila uchao
Kwahiyo ikiwa Membe amekiri kwamba ni ngumu kupambana na Lowassa, maana yake ni kwamba Membe anaamini Lowassa ndie atakuwa Rais. So, huo Uwaziri Mkuu anaosubiria Membe ndo huo wa kuteuliwa na Lowassa, au? Au unamaanisha Uwaziri Mkuu wa Tanganyika??
 
Fedha kweli haina adabu. Wenyewe wamekaa kimya huku wapambe wao wakihangaika mitandaoni!
 
!
Ule usemi usemao si kila jogoo akiwika ni asubuhi hili limedhihirika
Kama mnakumbuka wazir wa mambo ya nje Mh Benard Membe amwkuwa akihangaika kila awezalo ili akawe mgombea urais kwa kupitia chama cha mapinduzi.
Nimepata habar asubuhi kwa mtu aliyekaribu yake na ambaye amekuwa akimtumia kwa shughuli zake za kampeni kuwa lengo la yeye kupambana kufa na kupona si kwa ajili ya kuwa rais wa tanzania lengo ni kupata uwazir mkuu wa tanzania,habar zaidi zinasema amekuwa akisema wazi nguvu ya mh lowassa kweny chama ni kubwa kiasi kwamba imekuwa vigumu kwani kila wafanyalo linavuja.
Mtu huyo anasema mh membe amekir na kusema kupambana na lowassa ni sawa na kupambna na upepo kwani amekuwa haonekani lakin mashambulizi yanakuwa makubwa kila uchao
Ngoja tuone huu mziki naona unazidi kuwa mkubwa kila pakuchapo,tukaemkao tutaona men

lakin Membe kasema hagombei ubunge,je huo uwaziri mkuu utakuaje???
 
Membe wala asimsingizie Lowasa, Mambe kuwazia urais ni kujidanganya...
 
Nahisi nyie hamjafaham mzee Lowassa
lowassa awezi kumpq mtu legelege kazi ni afadhli mseme hata magufuli kuliko hilo joka la mdimu asiyekuwa na maamuzi,hajatofautiana na baba riz
 
wadau!
Ule usemi usemao si kila jogoo akiwika ni asubuhi hili limedhihirika
Kama mnakumbuka wazir wa mambo ya nje Mh Benard Membe amwkuwa akihangaika kila awezalo ili akawe mgombea urais kwa kupitia chama cha mapinduzi.
Nimepata habar asubuhi kwa mtu aliyekaribu yake na ambaye amekuwa akimtumia kwa shughuli zake za kampeni kuwa lengo la yeye kupambana kufa na kupona si kwa ajili ya kuwa rais wa tanzania lengo ni kupata uwazir mkuu wa tanzania,habar zaidi zinasema amekuwa akisema wazi nguvu ya mh lowassa kweny chama ni kubwa kiasi kwamba imekuwa vigumu kwani kila wafanyalo linavuja.
Mtu huyo anasema mh membe amekir na kusema kupambana na lowassa ni sawa na kupambna na upepo kwani amekuwa haonekani lakin mashambulizi yanakuwa makubwa kila uchao
Ngoja tuone huu mziki naona unazidi kuwa mkubwa kila pakuchapo,tukaemkao tutaona mengi

Waziri Mkuu Hatakiwi kuwa Msaliti au mtu wa kutaka kuzidi pua
 
Back
Top Bottom