Janja ya Membe yabainika: Kumbe ni Uwaziri Mkuu

wadau!
Ule usemi usemao si kila jogoo akiwika ni asubuhi hili limedhihirika
Kama mnakumbuka wazir wa mambo ya nje Mh Benard Membe amwkuwa akihangaika kila awezalo ili akawe mgombea urais kwa kupitia chama cha mapinduzi.
Nimepata habar asubuhi kwa mtu aliyekaribu yake na ambaye amekuwa akimtumia kwa shughuli zake za kampeni kuwa lengo la yeye kupambana kufa na kupona si kwa ajili ya kuwa rais wa tanzania lengo ni kupata uwazir mkuu wa tanzania,habar zaidi zinasema amekuwa akisema wazi nguvu ya mh lowassa kweny chama ni kubwa kiasi kwamba imekuwa vigumu kwani kila wafanyalo linavuja.
Mtu huyo anasema mh membe amekir na kusema kupambana na lowassa ni sawa na kupambna na upepo kwani amekuwa haonekani lakin mashambulizi yanakuwa makubwa kila uchao
Ngoja tuone huu mziki naona unazidi kuwa mkubwa kila pakuchapo,tukaemkao tutaona mengi
Hivi wewe hauna thread zingine zaidi ya LOWASSA? Mambo mengine ya kitaifa huna zaidi ya Lowassa?
 
naona ule ugonjwa wa kuweweseka umekurudia tena
jitahidi umalize dozi,naona we ni miongon kati ya wale wawesekaji
 
!
Ule usemi usemao si kila jogoo akiwika ni asubuhi hili limedhihirika
Kama mnakumbuka wazir wa mambo ya nje Mh Benard Membe amwkuwa akihangaika kila awezalo ili akawe mgombea urais kwa kupitia chama cha mapinduzi.
Nimepata habar asubuhi kwa mtu aliyekaribu yake na ambaye amekuwa akimtumia kwa shughuli zake za kampeni kuwa lengo la yeye kupambana kufa na kupona si kwa ajili ya kuwa rais wa tanzania lengo ni kupata uwazir mkuu wa tanzania,habar zaidi zinasema amekuwa akisema wazi nguvu ya mh lowassa kweny chama ni kubwa kiasi kwamba imekuwa vigumu kwani kila wafanyalo linavuja.
Mtu huyo anasema mh membe amekir na kusema kupambana na lowassa ni sawa na kupambna na upepo kwani amekuwa haonekani lakin mashambulizi yanakuwa makubwa kila uchao
Ngoja tuone huu mziki naona unazidi kuwa mkubwa kila pakuchapo,tukaemkao tutaona men

Kweli majungu sio mtaji....... kwa nini msilete nyuzi zenye takwimu sahihi, kila kukicha ni hadithi za lela ulela tuuuu hadi tunachoka
 
Wewe utaishia kuweweseka na kutengeneza uongo ili upate ujira wako.acha siasa za majitaka na kujikomba.
 
Uloi nga mâché68;10119859 said:
Mbona amesema hagombei ubunge, huo uwaziri mkuu ataupataje? Acha porojo

nahis itakuwa viti maalum.lakin mkuu siasa hazitabiriki na maneno ya wanasiasa siyo yakuamini,naona unaamini maneno ya wanasiasa kama unavyo muamini mkeo
 
Watanzania wenzangu ifike mahali sasa tufanye maamuzi sahihi. Nadhani kuna haja ya kusema hapana kwa wale wanaojifanya kuutaka URAIS kama vile ni kazi ambayo kila mtu anaweza kuifanya. Kukaa kwetu kimya katika hili itatufikisha mahali tunachanganya pumba na mchele katika ungo mmoja, kitu ambacho kitatusumbua. Let us be bold enough to say NO to cheap politicians.
 
Nahisi wewe utakuwa hujielewi
 
Lowassa anataka kuzikwa ikulu? akapumzike Monduli mbabu huyo
 
Miaka 10 ya Mkapa (Kusini) ya kuuza nchi imetosha! sasa Nyota ya Kaskazini Inaagazia DUNIA yote... Maendeleo ya kasi bara visiwani ndani ya miaka 5 ijayo... kaeni mkao wa wrinkles free .. smiles kila kona ya Tanzania... Wasukuma mikokoteni watakuwa Wahindi na Wazungu! Wahudumu wa Bar na mahotelini watakuwa Wachina na Wazungu !!! Wabongo tutakuwa matajiri wenye kumiliki majumba ya kifahari na magari classic ... Thanks to Almighty GOD kwakutupatia GAS, Dhahabu, Almasi, Nickel, Ruby, Tanzanite, Chuma, Copper, Gypsum, Soda, Coal, Uranium, Cobalt, Platinum, Mt Kilimanjaro, Mt Meru, Serengeti, Mikumi, Tarangire, Manyara, Katavi, Gombe, Mahale, Mkomazi, Udzungwa, Kilwa, Bagamoyo, Zanzibar, Bonde la Kilombero, Rufiji, Ruaha, Mbarali, Lake Victoria, Tanganyika, Nyasa, Rukwa, Manyara, Chala, Natron, Wami, Malagarasi et al...
 
wadau!
Ule usemi usemao si kila jogoo akiwika ni asubuhi hili limedhihirika
Kama mnakumbuka wazir wa mambo ya nje Mh Benard Membe amwkuwa akihangaika kila awezalo ili akawe mgombea urais kwa kupitia chama cha mapinduzi.
Nimepata habar asubuhi kwa mtu aliyekaribu yake na ambaye amekuwa akimtumia kwa shughuli zake za kampeni kuwa lengo la yeye kupambana kufa na kupona si kwa ajili ya kuwa rais wa tanzania lengo ni kupata uwazir mkuu wa tanzania,habar zaidi zinasema amekuwa akisema wazi nguvu ya mh lowassa kweny chama ni kubwa kiasi kwamba imekuwa vigumu kwani kila wafanyalo linavuja.
Mtu huyo anasema mh membe amekir na kusema kupambana na lowassa ni sawa na kupambna na upepo kwani amekuwa haonekani lakin mashambulizi yanakuwa makubwa kila uchao
Ngoja tuone huu mziki naona unazidi kuwa mkubwa kila pakuchapo,tukaemkao tutaona mengi
uwaziri mkuu wa nchi gani kwanza katiba mpya haina cheo cha waziri mkuu, pili 2015 ccm kitakuwa cha cha upinzani, ulimaanisha waziri mkuu kivuli kutoka kambi ya upinzani bungeni au??
 
naona ule ugonjwa wa kuweweseka umekurudia tena
jitahidi umalize dozi,naona we ni miongon kati ya wale wawesekaji
Hivi wewe ndito unaijua hata katiba iliyopo achia mbali hii rasimu ya katiba mpya ambayo kwa kichwa chako huwezi kuielewa hata ukiisoma mwaka mzima!
 
weni mbwa jike kweli!unafikir kama kichwa chako kimejaa makamasi unafikir na chakila mtu kiko hivyo
 
Ona sasa kumbe fani yako ni kuongea na mbwa umejisahau hadi huku jf! Ndo wale mbwa wa Lowassa unaongeaga nao pale ngarash! Baada ya hapo unapewa Loshoroo.
 
Back
Top Bottom