Janja ya Membe yabainika: Kumbe ni Uwaziri Mkuu

Janja ya Membe yabainika: Kumbe ni Uwaziri Mkuu

Ona sasa kumbe fani yako ni kuongea na mbwa umejisahau hadi huku jf! Ndo wale mbwa wa Lowassa unaongeaga nao pale ngarash! Baada ya hapo unapewa Loshoroo.

Ngoja nikuache kwasab nami ntaoneka na mwehu kama ww
 
wadau!
Ule usemi usemao si kila jogoo akiwika ni asubuhi hili limedhihirika
Kama mnakumbuka wazir wa mambo ya nje Mh Benard Membe amwkuwa akihangaika kila awezalo ili akawe mgombea urais kwa kupitia chama cha mapinduzi.
Nimepata habar asubuhi kwa mtu aliyekaribu yake na ambaye amekuwa akimtumia kwa shughuli zake za kampeni kuwa lengo la yeye kupambana kufa na kupona si kwa ajili ya kuwa rais wa tanzania lengo ni kupata uwazir mkuu wa tanzania,habar zaidi zinasema amekuwa akisema wazi nguvu ya mh lowassa kweny chama ni kubwa kiasi kwamba imekuwa vigumu kwani kila wafanyalo linavuja.
Mtu huyo anasema mh membe amekir na kusema kupambana na lowassa ni sawa na kupambna na upepo kwani amekuwa haonekani lakin mashambulizi yanakuwa makubwa kila uchao
Ngoja tuone huu mziki naona unazidi kuwa mkubwa kila pakuchapo,tukaemkao tutaona mengi

Lowasa wako hata kwenye tatu bora hataonekana, subiri uone hatuteui FISADI sisi!
 
Lowasa! Hawezi fua dafu huyu wala hatufikirii kuwapa wepesi wapinzani. Mnamtaka ili mpite na kusema habari za RICHMOND, BOT, IPTL na ESCROW,

Sisi tunaibua mkali wa jukwaa na kiboko ya MAFISADI, huyo ndugu yenu Lowasa aende akafuge isipotosha amalizie akiba za RICHMOND
 
Hakuna mwenye hati miliki ya TZ, membe au lowassa, mziki watausikia nyumba ya jirani kwa baba mwenye nyumba
 
nani sasa atakuwa mgombea kwa ticket ya ccm maana wote wanaotaka kugombea waliwahi na bado ni viongozi ndani ya serikali hii+ndani ya ccm,,na hadi sasa tunaona wanachokifanya basi chagueni mmoja wapo watz hatutaishi kwa matamko ya wagombea urais!
 
lowassa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwanza mgonjwa sana hataweza hata fanya kampeni
 
mepga swaki tayar...au utapga baada ya habar yako i ya kusadikika
 
kwani Lowassa si ndio alimpigia kampeni baba riz? y asimpe joka la ndimu? japo nikiri tu Membe ana uwezo mdogo sana hata ubunge haukumfaa labda udiwani
 
hahahahahaa:llama:ha ha ha hivi member seriously anataka kuwa rais? au rais wa manzese?
 
Back
Top Bottom