Jane Mponzi wa Vodacom is no more!

Gama na mwenzake john komba watakufa mapema kama hawatabadilia style ya maisha yao......wana ongezeko na mlindikano mkubwa wa mafuta mwilini mwao..ambao ndio inachangia kwa kasi kikubwa heart attack.....na kwa komba ni mbaya zaidi maana mbali na kuwa na mwili ule pia ni mzinzi wa kutupwa......kitendo kile kina consume msukumo mkubwa damu na mtu kama yule vains zake hazipitishi damu balabala....soon he'll die kwa heart attack

We Mungu au mwanga?
 
Altitude inahusikaje hapo mkubwa?.....Halafu hiyo RIP yako ni kejeli tupu!

al·ti·tude
   [al-ti-tood, -tyood] Show IPA
noun 1. the height of anything above a given planetary reference plane, especially above sea level on earth.

2. extent or distance upward; height.

3. Astronomy . the angular distance of a heavenly body above the horizon.

4. Geometry . a. the perpendicular distance from the vertex of a figure to the side opposite the vertex.

b. the line through the vertex of a figure perpendicular to the base.

5. Usually, altitudes. a high place or region: mountain altitudes.

'Chingreza' lugha ya 3. Chingreza wito mpe tuisheni siku nyingine.

RIP Jane.
 
Gama na mwenzake john komba watakufa mapema kama hawatabadilia style ya maisha yao......wana ongezeko na mlindikano mkubwa wa mafuta mwilini mwao..ambao ndio inachangia kwa kasi kikubwa heart attack.....na kwa komba ni mbaya zaidi maana mbali na kuwa na mwili ule pia ni mzinzi wa kutupwa......kitendo kile kina consume msukumo mkubwa damu na mtu kama yule vains zake hazipitishi damu balabala....soon he'll die kwa heart attack

"Utashangaa" utakapokufa wewe kabla yao na hiyo milo yako mizuri! We vipi? Si ufungue thread yako ya mafunzo kuhusu mazoezi na mlo bora?
 
Kama ulivyo nami nilikuwa
Kama nilivyo nawe utakuwa
Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
 
ni wakati sasa wa wabongo kuacha kula vyakula vya barabarani chips,kuku na mafuta mengine....pia kuanza mazoezi sio kushinda bar na kunywa pombe.....imagine dada kama huyu kafa kifo cha kujitakia naweza kusema.......kama angefuata kanuani za mlo ulio bora na kushiriki mazoezi inawezekana kabisa leo hii engekuwa bado yu hai.....heart attack nyingine sisi wanadamu tunazitafuta......

Watz mpunguze altitude yenu ya kuwa mwenye kitambi ndio mwenye afya....ati ukiwa mnene ndio una afya....rip dada jane....

RIP Jane Mponzi
 
Mdogo wangu Jane sikuamini hadi nilivyofika jana asubuhi hapo kwenu,nakumbuka matukio mengi tukiwa pamoja i mean Arusha n Dar.Mungu wetu ni wa huruma sana akusamehe makosa yako upumzike kwa amani.
 
RIP Jane,

Kama kuna mtu anajua ID yake ya JF atujuvye...Ni muhimu sana ili tusije kuanzisha thread za kumtafuta wakati Mungu keshamwita kwake!

Naomba please....wanaofahamu au Max watusaidie
 
Gama na mwenzake john komba watakufa mapema kama hawatabadilia style ya maisha yao......wana ongezeko na mlindikano mkubwa wa mafuta mwilini mwao..ambao ndio inachangia kwa kasi kikubwa heart attack.....na kwa komba ni mbaya zaidi maana mbali na kuwa na mwili ule pia ni mzinzi wa kutupwa......kitendo kile kina consume msukumo mkubwa damu na mtu kama yule vains zake hazipitishi damu balabala....soon he'll die kwa heart attack

Unaweza ukatangulia wewe kufa Komba na Gama wakaendelea kula maisha
 
Unaweza ukatangulia wewe kufa Komba na Gama wakaendelea kula maisha
Nyie ndio mnaoifanya hii nchi iwe hapa ilipo.....gama na mwenzie komba wako kwenye hatari ya kufa any time kwa mujibu wa afya zao.....mimi siko kama wao..and i'll never be like em..never.....siwezi kuwa mlafi mpaka nikafikia huko....najali afya yangu..nakula mlo kamili..sibugii bugii hovyo arifu......suala la kufa mapema sio ishu....kuna mambo mengi ya kidunia lakini siwezi kufa kifo cha kujitakia cha kuwa mlafi kama kitakachowatokea komba na gama......
Obesity Tanzania???? Do u real mean what u are saying au umekariri tu!!! Hapa vitu vyote organic(Tena sio tu organic, but natural kutoka shamba lisilotiwa hata mbolea) mkuu unatoa wapi Obesity katika nchi kama hii???
Obesity ipo sana tz.....style ya maisha ya nyie wasomi mnaiga ya majuu....
--chakula mna shoop shoprite kilichokaa kwebnye friji mwezi mzima....ukishakuwa msomi huwezi kununua chakula sokoni bana....hautaeleweka kwa level yako..lazima uvae buktaa kubwaa ya puma raba ya adidas na tshirt ya sean john unaingia mlimani city ku shop kwa madaa huku umening'iniza funguo za Verossa kwenye ruksi ya kaptula yako......
na ukiwa hapo vitu kama ice cream,pop corn lazima uwe unakula kidogo uku ukishop bana......mwisho unamalizia samaki samaki kupoza koo na bia.....

siku hizi kijana under 30 kibao wanene kupita maelezo....pole sana arifu.....
 
R.I.P my friend.....Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani, Amina. Naona baada ya last respects ndio nitaamini maana bado sijaikubali daaaah ngumu sana. Ee Mungu wetu tunakuomba ukawatie nguvu familia yake ktk kipindi hiki kigumu.
 
MPONZI.JPG

Jaman mdogowake anaitwa Doris Mponzi tumepiga nae kitabu OYSTARBAY. Polen sana familia ya Mponzi
 
Back
Top Bottom