Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Basi inaonyesha Babaubaya unaongelea mtu tofauti, maana huyu anayeongelewa hapa alifariki 2008!
Mtafute mshikaji wako umuulize!, usije ukapata shock ya bure!
apart from kufanya kazi vodacom.....hayati jane alikuwa nani? why so spaecial bna huyu dada..rip jane
RIP the deceased much as this is my first time to hear of you. I'm also curious about knowing what is behind your fame to an extent of prompting the starting of thread concerning your death information.
sorry mkuu nimekosea kingereza....RIP dada JaneAltitude inahusikaje hapo mkubwa?.....Halafu hiyo RIP yako ni kejeli tupu!
al·ti·tude
   [al-ti-tood, -tyood] Show IPA
noun 1. the height of anything above a given planetary reference plane, especially above sea level on earth.
2. extent or distance upward; height.
3. Astronomy . the angular distance of a heavenly body above the horizon.
4. Geometry . a. the perpendicular distance from the vertex of a figure to the side opposite the vertex.
b. the line through the vertex of a figure perpendicular to the base.
5. Usually, altitudes. a high place or region: mountain altitudes.
ni wakati sasa wa wabongo kuacha kula vyakula vya barabarani chips,kuku na mafuta mengine....pia kuanza mazoezi sio kushinda bar na kunywa pombe.....imagine dada kama huyu kafa kifo cha kujitakia naweza kusema.......kama angefuata kanuani za mlo ulio bora na kushiriki mazoezi inawezekana kabisa leo hii engekuwa bado yu hai.....heart attack nyingine sisi wanadamu tunazitafuta......
Watz mpunguze altitude yenu ya kuwa mwenye kitambi ndio mwenye afya....ati ukiwa mnene ndio una afya....rip dada jane....

kwa mwili wa dada yetu Jane ni wazi kabisa kuwa alikuwa over weight....mkubali mkatae....obesity ni gonjwa linaloshambulia watu wasioofuata mlo bora...na hii iko kwa kasa sana tanzania kwa sasa......hasa vijana kazi nyingi,mlolongo wa stress na mlo mbovu na kutokufanya mazoezi vinafanya wengi kushambuliwa na shinikizo la damu....Unayoongea inawezekana ni kweli lakn natamani ingekuwepo kitufe cha dislike nikugongee.Una jaji bila hata ya kuwa na historia ya huyu dada.Siku hizi hata vimbaumbau wana magonjwa ya moyo.
Enewei meseji sent..tutafanya mazoezi na kuacha chips
kwa mwili wa dada yetu Jane ni wazi kabisa kuwa alikuwa over weight....mkubali mkatae....obesity ni gonjwa linaloshambulia watu wasioofuata mlo bora...na hii iko kwa kasa sana tanzania kwa sasa......hasa vijana kazi nyingi,mlolongo wa stress na mlo mbovu na kutokufanya mazoezi vinafanya wengi kushambuliwa na shinikizo la damu....
Sio kwa mba natoa kejeli au simheshimu marehemu..la hasha....ni angalizo kwetu tuliobakia....tuwe na kasumba ya kula mlo bora nikiwa na maana mboha mboga,matunda,wanga na kupuinguza kwa wingi vyakula vya mafuta.......
pia kushiriki mazoezi ni muhimu.....ndio ukweli huo wakuu.....najua tupo kwenye majonzi lakini kwetu sisi ni jambo jema tukajikinga na maradhi ambayo yanaweza kuepukika.....
mazoezi nafanya kiasi chake......ila kutokanana kubanwa na muda alionipangia muajili nashindwa kuwa ontime na mazoezi.....ila nashukuru Mungu kwa siku atleast natemmbea kilomita 1 inatosha ku burn calorizi.......na pia nimeamua kuwa na adabu na kuwa na chaguzi mathubuti kwenye milo yangu....Wewe unapiga tizi?
Gama na mwenzake john komba watakufa mapema kama hawatabadilia style ya maisha yao......wana ongezeko na mlindikano mkubwa wa mafuta mwilini mwao..ambao ndio inachangia kwa kasi kikubwa heart attack.....na kwa komba ni mbaya zaidi maana mbali na kuwa na mwili ule pia ni mzinzi wa kutupwa......kitendo kile kina consume msukumo mkubwa damu na mtu kama yule vains zake hazipitishi damu balabala....soon he'll die kwa heart attackVipi Leonidas Gama?
Gama na mwenzake john komba watakufa mapema kama hawatabadilia style ya maisha yao......wana ongezeko na mlindikano mkubwa wa mafuta mwilini mwao..ambao ndio inachangia kwa kasi kikubwa heart attack.....na kwa komba ni mbaya zaidi maana mbali na kuwa na mwili ule pia ni mzinzi wa kutupwa......kitendo kile kina consume msukumo mkubwa damu na mtu kama yule vains zake hazipitishi damu balabala....soon he'll die kwa heart attack
Kilima hiko kinaitwa Kilima Nyege
rip! naomba kujua, je ana undugu na bibie mmoja anaitwa grace kwa ubini huo huo??