Afadhali, hajaishi kihasara, asante SanaAna watoto wawili.
Mkuu,Nchi hii kila mtu mrembo kila mtu billionea, Kama huyu kweli kwenye picha ndiye anaitwa mrembo basi kama Taifa tuna safari ndefu sana....
tena safari yenye milima na mabonde na wasafiri ni vilemaNchi hii kila mtu mrembo kila mtu billionea, Kama huyu kweli kwenye picha ndiye anaitwa mrembo basi kama Taifa tuna safari ndefu sana....
Hv ww baba unajua tofauti kati ya mwanamke mrembo na mwanamke mzuri!??Nchi hii kila mtu mrembo kila mtu billionea, Kama huyu kweli kwenye picha ndiye anaitwa mrembo basi kama Taifa tuna safari ndefu sana....
HUYU NDIYO DEMU MKALI?, KWELI KILA MTU NA UONI WAKE?Mzuka wanajamvi.
Jana Tanzania imempoteza mrembo pisii kali Penina wa Goba the undisputed beauty.
Wanaume wengi tumepokea msiba huu kwa mshtuko sana. Kwa upande wangu leo nimeamua kupumzika nakuchukua likizo ya siku moja kumuomboleza dem huyu mkali mjasiramali japo simjui wala hanijui.
Kifo hakijalitendea haki kabisa taifa letu. Ni pengo kubwa lisilozibika kamwe.
Ikumbukwe furaha ya mwanamme ni mwanamke. Demu mzuri analeta amani kwenye jamii, analeta furaha, analeta matumaini, anatupa kujiamini, they are empowering us tuzidi kujituma kutafuta hela kwa bidii ili tuwafurahishe wafurahi na wanapofurahi na sisi tunafurahi pia na jamii kwa ujumla.
Mkuu maishapopote tunaomba kujua utaratibu wa msiba na mazishi na njia ya kutuma michango ili tuomboleze na wapendwa.
Popote ulipo chukua dakika moja kusimama wima na kukaa kimya kumuomboleza huyu mrembo.
She's gone forever now every breath is a struggle.
View attachment 2998236
Mzuka wanajamvi.

Tatizo wewe siiyo pisi kaliNatafuta mtu atakayejinyonga kwa ajili yangu sio anichinje mimi mapanga🤸
Natafuta mtu atakayejinyonga kwa ajili yangu sio anichinje mimi mapanga🤸
Ni ushamba tu wa wasukuma lakini yule hakuwa pisi kali kihivyoHana uzuri huo ni wa kawaida saana.
She’s not drop dead [pause] gorgeous.Nchi hii kila mtu mrembo kila mtu billionea, Kama huyu kweli kwenye picha ndiye anaitwa mrembo basi kama Taifa tuna safari ndefu sana....
Huyu Ng'ombe anaenda jela sababu ya huyu mama Mzee. Akili Hakuna hapoMzuka wanajamvi.
Jana Tanzania imempoteza mrembo pisii kali Penina wa Goba the undisputed beauty.
Wanaume wengi tumepokea msiba huu kwa mshtuko sana. Kwa upande wangu leo nimeamua kupumzika nakuchukua likizo ya siku moja kumuomboleza dem huyu mkali mjasiramali japo simjui wala hanijui.
Kifo hakijalitendea haki kabisa taifa letu. Ni pengo kubwa lisilozibika kamwe.
Ikumbukwe furaha ya mwanamme ni mwanamke. Demu mzuri analeta amani kwenye jamii, analeta furaha, analeta matumaini, anatupa kujiamini, they are empowering us tuzidi kujituma kutafuta hela kwa bidii ili tuwafurahishe wafurahi na wanapofurahi na sisi tunafurahi pia na jamii kwa ujumla.
Mkuu maishapopote tunaomba kujua utaratibu wa msiba na mazishi na njia ya kutuma michango ili tuomboleze na wapendwa.
Popote ulipo chukua dakika moja kusimama wima na kukaa kimya kumuomboleza huyu mrembo.
She's gone forever now every breath is a struggle.
View attachment 2998236
Kipimo mrembo mke wangu tuMkuu,
Tuwekee kipimo chako Cha urembo..
Nacho jua Mimi hakunaga S.I unit ya urembo..
What's beuty?? Kwa kiswahili tunasema Urembo/ ulimbwende Ni Nini??
Ndio ivyo mkuu urembo upo machoni mwa anae tazama 😊😊