Jana taifa limepoteza nafsi ya thamani sana

Jana taifa limepoteza nafsi ya thamani sana

Penina wa Goba limama nginjanginja komasava, alivyokula hela ya msukuma hadi akageuzwa bucher...😜
Kila siku Mzee wa kupambania anatoa somo humu la kutompa pesa asiye mke wako nyie mnaona ubahil.
Sasa manzi kama hata hela ya saluni humpi hata ukimfuma ana gongwa wala haikuumi unaachana nae na kuendelea na habar zako na unakua umeepuka madhira kama haya kwenda jela 30yrs kisa punani ya muuza grocery
 
Mbona hana uzuri hu
Katika mboni za macho yangu, Hana uzuri huo wa kutingisha dar, sijui huko kwao serikali ya nyumba 10 ndio anaweza tingisha, ni pisi ya kawaida sana.
Kwenye ubovu hayupo lakini pia hana uzuri huo wa kuimbwa imbwa.

Alimuokota huyu ngosha mwenzangu, tulivyo wagonjwa kwa watoto weupe jamaa likadata.. 🤣
Ngosha angekuwa kaishagonga gonga mpaka kaarufu ka umalaya anako asingefamya ujinga huu uliomgharimu kwenda jela.
 
Msibaa upo kwao mitaa ya goba Kwa awazi mitaa ya oktilii na ndipo atakapopumzishwaa marehemu mlaji Hela za msukuma mjingaaa anayejichanganya Kwa single mama wa wtt wawilii 😅😅😅 ilaa huyu Dem bhana akapumzike tu nilishapangaga naye nyumba Moja Kwa Mzee flan hv goba kipindi hcho anaishi na mume wake wa halali aliyezaa naye wtt wawili aiseee alikuwa anamburuza yule jamaaa mpk jamaa akakimbiaga akamwachia wtt na vtu ,ndio Dem kuanzaa kupikaa mpk na wapiga tofali 😅😅 baadae kbs huyu boya msukuma katoka huko na usukuma wake kasomba kama alivyo akijijua kapata kumbee kapataikanaa ...

R.i.p mpngaji mwenzangu miaka ya 2018 ukakitulize ss hyo k maana mmmmhh
 

Attachments

  • downloadfile-4.jpg
    downloadfile-4.jpg
    89.6 KB · Views: 7
Tuache kupeana yote jaman haswaaa kwa wasukuma,,aseeee kuna lisukuma limoja liliniganda adi kuapa likiachana namimi linakua towashi au linaniua🤣🤣🤣🤣nimeliacha na halijawa towashi linalamba tu mademu wala bado nadunda tu.
 
Mzuka wanajamvi.

Jana Tanzania imempoteza mrembo pisii kali Penina wa Goba the undisputed beauty.

Wanaume wengi tumepokea msiba huu kwa mshtuko sana. Kwa upande wangu leo nimeamua kupumzika nakuchukua likizo ya siku moja kumuomboleza dem huyu mkali mjasiramali japo simjui wala hanijui.

Kifo hakijalitendea haki kabisa taifa letu. Ni pengo kubwa lisilozibika kamwe.

Ikumbukwe furaha ya mwanamme ni mwanamke. Demu mzuri analeta amani kwenye jamii, analeta furaha, analeta matumaini, anatupa kujiamini, they are empowering us tuzidi kujituma kutafuta hela kwa bidii ili tuwafurahishe wafurahi na wanapofurahi na sisi tunafurahi pia na jamii kwa ujumla.

Mkuu maishapopote tunaomba kujua utaratibu wa msiba na mazishi na njia ya kutuma michango ili tuomboleze na wapendwa.

Popote ulipo chukua dakika moja kusimama wima na kukaa kimya kumuomboleza huyu mrembo.

She's gone forever now every breath is a struggle.
Picha
 
Hii nchi ndio tuanze kulalamika Kenya wanatuzidi kwa kitu. Hata Rwanda tu nchi ndogo wanatupiga bao mambo mengi. Sisi tunawazidi kwa mambo ya ajabu ajabu tu. Ona akili hizi
 
Back
Top Bottom