Jana taifa limepoteza nafsi ya thamani sana

Jana taifa limepoteza nafsi ya thamani sana

Hahaha Nifah licha ya kukupenda kupita maelezo umenifanya nicheke balaa.

You have a sense of humor in you!

😅🤣
Unataka na mimi nikatwe mapanga kama Penina? Ila yule ni atanifyatua tu na risasi, mapanga sio issue zake.

Yupo anayenipenda kupita maelezo, bado najipenda mwenzio.
 
Mzuka wanajamvi.

Jana Tanzania imempoteza mrembo pisii kali Penina wa Goba the undisputed beauty.

Wanaume wengi tumepokea msiba huu kwa mshtuko sana. Kwa upande wangu leo nimeamua kupumzika nakuchukua likizo ya siku moja kumuomboleza dem huyu mkali mjasiramali japo simjui wala hanijui.

Kifo hakijalitendea haki kabisa taifa letu. Ni pengo kubwa lisilozibika kamwe.

Ikumbukwe furaha ya mwanamme ni mwanamke. Demu mzuri analeta amani kwenye jamii, analeta furaha, analeta matumaini, anatupa kujiamini, they are empowering us tuzidi kujituma kutafuta hela kwa bidii ili tuwafurahishe wafurahi na wanapofurahi na sisi tunafurahi pia na jamii kwa ujumla.

Mkuu maishapopote tunaomba kujua utaratibu wa msiba na mazishi na njia ya kutuma michango ili tuomboleze na wapendwa.

Popote ulipo chukua dakika moja kusimama wima na kukaa kimya kumuomboleza huyu mrembo.

She's gone forever now every breath is a struggle.
Ngoja nikuulizie best angu Ni maeneo yake hayo ntarud hapa kuwapa mrejesho
 
Back
Top Bottom