Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,590
- 11,379
Rip
Huyo alikuwa mrembo kwa aliyemuua.Nchi hii kila mtu mrembo kila mtu billionea, Kama huyu kweli kwenye picha ndiye anaitwa mrembo basi kama Taifa tuna safari ndefu sana....
Sawa mkuu hakuna wa kukubishia 😊😊Kipimo mrembo mke wangu tu
🔥🔥🔥🔥Siwezi kujiharibia maisha kisa mwanamke.
I have too much pride. Lots of self love. Tons of reasons to live for!
My self esteem is out of this world.