Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
- Thread starter
- #81
sishangai kwasababu ndo life cycle..
mwanamke mtata lazma apate mwanaume ----/mzembe/muoga ili muweze kumatch
ni swala la positive na negative attract na same side zina repel..
Binafsi mwanamke wangu hajawahi hata kuota kuninyanyulia mkono, na ata akiota,naona atapata nightmare mbaya sanaaa....maana hiki kichwa changu anakijua ..and not to forget yeye mpole in nature
Mkuu ni sawa na li nchi kama USA linalojiamini kwa kuwa na uchumi mkubwa na maguvu ya kijeshi halafu lije kupigwa na ki ji nchi kama Rwanda (huo ni mfano tu) unadhani itakuwaje zaidi ya jamaa kukaa na kujitathmini kwanza