Jana shemeji yenu kanipiga kibao

Jana shemeji yenu kanipiga kibao

Kaka mkubwa kwanza umejiabisha kuanzia wewe mwenyewe mpaka sisi wanaume,utakuzabaje kibao mkeo na wewe umwangalie,hizo ni zarau sio siri...!

Nakushauri chukua hatua haraka iwezekanavyo mkanye au ikiwezekana mkasirikie kabisa kumwonesha kwamba hiko kitendo hukuridhika nacho hata kama ndio mapenzi,ukichelewa utajikuta anakudhalilisha mbele ya watu hivihivi.

Kumbuka mazoea hujenga tabia.
 
Na ww mpige na bakora la kiume kisawasawa uone kama hajasahau kila kitu.
 
Msamehe tuu bure, ni binadamu na pia ni mkeo/mapenzi wako Sasa amekosa ilikua ni hasira tuu, usimtafutie sababu ya ya kumtwanga tena...
 
Msamehe tuu bure, ni binadamu na pia ni mkeo/mapenzi wako Sasa amekosa ilikua ni hasira tuu, usimtafutie sababu ya ya kumtwanga tena...

Sasa nahofia nikifika anaweza akasema tumpigie yule dada wakat nae kasema atakomaa kuwa mi ni mpenzi wake
 
Jana nilikuwa mpole lakin leo hata cjui kitakachotokea

2Q==


Na yeye huyo hapo anakusubiria kwa machungu, inabidi uende umejipanga aisee la sivyo lazima akutoe manundu...
 
Hapo umeongea la maana sana ngoja nijikoki ma viroba hapa

Acha kutumia binu za kizamani,tafuta kiini cha yai la kuku wa kienyeji,asali mbichi kijiko kimoja na ndimu.tengeneza mchanganyiko wa nusu kikombe piga,..

nakuahidi hatukupiga tna kibao zaidizaidi atakuwa ankuvutia kunako!
 
Eti nini!!!mwanamke akakuzaba kibao!!!He he he,Mungu wangu are you a man enough?naomba kwa heshima ondoa hii thread yako,umetudhalilisha wanaume,eti nini???nizabwa kibao Hahahahahah makubwa.

Chezea mahaba niue wewe
 
Next time anaweza kukunyofoa kifanyio chako

Mkuu Elli hii picha sio nzuri....mimi siku nlipoiona nakumbuka sikula nyama wiki mbili naona leo umeileta tena....dushe zuri ulionage liko mwilini mwa mtu sio kama hivi
 
Last edited by a moderator:
mkikua mtaacha sim...msg ya mwanamke

watu tunafumania tuna mute
huyo mpenzio mkidumu sana kwenye ndoa maana najua hamjaoana itakua ni miez kadhaa tu
kama asipobadilika

We roho yako ya kimasai ndo mana. Mi hapo panachimbika bila jembe
 
Mkuu Elli hii picha sio nzuri....mimi siku nlipoiona nakumbuka sikula nyama wiki mbili naona leo umeileta tena....dushe zuri ulionage liko mwilini mwa mtu sio kama hivi

Basi nimekuelewa sitaiweka tena, kwani wewe hutumii hio kitu? Just curiosity
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom