Kitimoto ya Bar hata ingepikwa saa 9 usiku inajitambulisha huwezi tofautisha mbuzi na kitimoto kweliii????..Ilkuwa bar mwanga hafifu
Kumbe ulikuwa Bar, hayo maji umeshayavulia nguo weye oga tu kwa raha zako.Ilkuwa bar mwanga hafifu
Ilikuwaje wakati unaitafuna mkuu,tamu au ina uchungu flani wa utamu..?Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
Wenzio wanakula hyo nyama kama hawana akil nzur,tena ma ostaz orijino...we unasema kichechef,jamaa mnafk kinomaSio unafki,,am feeling very bad..
Je ulipata jibu la mshangao wako? Maana hapo kwenye ULAINI ndipo penye ulimbo wa hiyo nyama. Nina hakika asilimia 65 utaenda kwa Mama Kamche kutafuta huo ulaini kwa mara nyingine. Pole sana mkuu.Nilijua mbuzi BT nilishangaa kwann laini?
Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.