Jana nilithibitisha kuwa nimekomaa kwenye mapenzi

Ikienda sehem yeyote ukakuta vitu vya kuashiria Hali Iko shwari, usijiachie na uongeze umakini zaidi.

Umeingia kwenye eneo unasisitiziwa kwamba Kuna usalama wa kutosha, Kaa chonjo.

Inakutana na mtu anajikita zaidi kukuonyesha uaminifu wake, Kaa Kwa kutulia.

Mtu mwenye asili yake hawezi kutumia nguvu au kujinasibu kukuaminisha chochote, anajua Hana haja ya kufanya hivyo Kwa vile utamfaham tu.
Vijana kuyaelewa haya watachukua muda mrefu sana...mpaka uwe na damu ya kijasusi...mfano ni rahis sana kujua masanja mkewe kaliwa sababu anatumia nguvu kubwa sana kuaminisha uma kuwa ni false allegations...
 
Ndani kabisa ya moyo wake ana machungu na maumivu yasiyokifani. Hizi mambo anaongea sijui hawataachana, anajirufurahisha tu.
Haya mambo yanahitaji Neema na HEKIMA yeye anajiapiza ndoa haivunjiki, siku mkewe akiamua Kwa sababu yeyote ile kumwacha, atamkataza?
 
Licha ya week mbili,kuliwa na njemba

Nyoka aliteleza humo kwa bibi? Ulipata utelezi?
 
D
Katika siku nilionyesha uvumilivu ama naweza sema ukomavu katika mapenzi ni jana.

Maana sio kazi ndogo kumfuma mtu na mchumba wako, tena mchumba mwenyewe mpya hata week mbili sija maliza nae halafu nisifanye chochote niamue kuondoka tu, sio poa inahutaji moyo wakiume asikuambie mtu.

Ila na nyinyi madem wengine makatili kweli. Yaani juzi tu nimempa vibunda kama vyote, dah sio poa madem muna zingua.

Tena chaajabu yeye alisikia tu kua nimetembea na dem fulani mtaani, aliniponda sana, "ohh we malaya kumbe, unatembea na fulan, kwanza mchafu, siwezi kushea mwanamme na malaya kama yule, sijui nini na nini ".

Maneno kibao, nikaona enhee demu ndio huyu, ananionea mpaka wivu!

Juzi nikapata vichenji fulani nikamchezeshea machenji ya kutosha tu, huku nikimuomba msamaha na kumuahidi kua kwasasa mimi ni wake hataniona na malaya tena.

Ila nilimuuliza, kweli yuko siriasi na penzi hili, asije akaniwekea mipaka mimi nisichepuke ilhal yeye ni mchepukaji mzuri tu, akanijibu "mambo ya umalaya mimi sipendi na sina muda wa kuchanganya wanaume "

Nikamuuliza kama kweli hana bwana, akaniambia yeye kawaida yake akiachana na mwanaume ndio humpa nafasi mwanaume mwengine.

Nakweli kimtazamo ni mpole, pia ni mtu wakanisani, maana huwa namuonaga akikatiza kuelekea kanisani.

Na maongezi yote haya tulikua tukiyaongea nyumbani kwake mwenyewe, na nikichezesha ukutani naiona picha ya Yesu.

Nikaona mamaa nimepata demu, hapa sasa ndipo vyangu vinahitajika vipotee.

Ila kilichotokea jana, poh nimetema mate.

Mwenyewe nimempanga kichaangu akamuone shemeji yake, tena kwa kumpamba anatabia nzuri, mara sijui mtoto mpole, ila tulipo fika pale, mbona tumemkuta anabandikwa na njemba mimi mwenyewe nilitulia.

Kwanza sijaamini macho yangu, maana nilimpaki nje rafiki yangu nikaenda kuchungulia kwanza, yupo? ili nimkalibishe rafiki yangu aingie ndani.

Naingia tu seblen nasikia sauti za mapenzi kuashiria mtu anagongwa.

Me akh nini tena, mbona siamini.

Nikanyata mpaka mlangoni nikachungulia japo kwa tabu, namuona mchizi kampinda mchumba, nikaona mamaa inatosha.

Nikajiuliza nivunje lango lenyewe ama vipi, lakini huwezi amini sijui malaika gani aliniingia, sikufanya chochote zaidi nilirudi nyuma nikavaa viatu vyangu nikatoka nje.

Nikamwambia tu kichaangu kua dem hayupo, hao tukarudi tulipo toka.

Chamsingi nimezingatia kua sio mke wangu wa ndoa.

Pili maugonvi ya kufamaniana hamchelewi kuuana ama kutiana vilema, sasa kweli me nitolewe meno kisa dem tu, NO.

Nilicho fanya nilimtumia sms na kumumpa pongezi kwa usanii wake.

Mwisho wa picha najiona mimi ndio nimeshinda, na nimekomaa kimapezi, naweza kuishi na malaya yeyote na tusiumizane.

Angekua mshamba wa mapenzi pangechimbika, wenda angeumia ama angeumizwa.

Kwanza njemba yenyewe hiyo inaonyesha mtu mbili simuwezi labda nipewe silah, sasa nikiumia je?

Kwenda huko, kama pesa si tunatumiaga tu, nahiyo ni moja ya matumizi, sio niliuwe jitu eti kisa mapenzi, alafu nianze kuishi kwa mashaka, NO.
Dah .. inauma mkuu ila big up sana .
 
""Mwisho wa picha najiona mimi ndio nimeshinda, na nimekomaa kimapezi, naweza kuishi na malaya yeyote na tusiumizane.""

Hili ndilo la maana.

WATOMBEEEE halafu PITA HIVIII.

Men are hungry for Pussy
Women are hungry for money.

#YNWA
 
Ndani kabisa ya moyo wake ana machungu na maumivu yasiyokifani. Hizi mambo anaongea sijui hawataachana, anajirufurahisha tu.
Haya mambo yanahitaji Neema na HEKIMA yeye anajiapiza ndoa haivunjiki, siku mkewe akiamua Kwa sababu yeyote ile kumwacha, atamkataza?
Unaona lilivyo bwege ? linausemea moyo wa mwanamkeee
 
Maturity[emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]
 
Katika siku nilionyesha uvumilivu ama naweza sema ukomavu katika mapenzi ni jana.

Maana sio kazi ndogo kumfuma mtu na mchumba wako, tena mchumba mwenyewe mpya hata week mbili sija maliza nae halafu nisifanye chochote niamue kuondoka tu, sio poa inahutaji moyo wakiume asikuambie mtu.

Ila na nyinyi madem wengine makatili kweli. Yaani juzi tu nimempa vibunda kama vyote, dah sio poa madem muna zingua.

Tena chaajabu yeye alisikia tu kua nimetembea na dem fulani mtaani, aliniponda sana, "ohh we malaya kumbe, unatembea na fulan, kwanza mchafu, siwezi kushea mwanamme na malaya kama yule, sijui nini na nini ".

Maneno kibao, nikaona enhee demu ndio huyu, ananionea mpaka wivu!

Juzi nikapata vichenji fulani nikamchezeshea machenji ya kutosha tu, huku nikimuomba msamaha na kumuahidi kua kwasasa mimi ni wake hataniona na malaya tena.

Ila nilimuuliza, kweli yuko siriasi na penzi hili, asije akaniwekea mipaka mimi nisichepuke ilhal yeye ni mchepukaji mzuri tu, akanijibu "mambo ya umalaya mimi sipendi na sina muda wa kuchanganya wanaume "

Nikamuuliza kama kweli hana bwana, akaniambia yeye kawaida yake akiachana na mwanaume ndio humpa nafasi mwanaume mwengine.

Nakweli kimtazamo ni mpole, pia ni mtu wakanisani, maana huwa namuonaga akikatiza kuelekea kanisani.

Na maongezi yote haya tulikua tukiyaongea nyumbani kwake mwenyewe, na nikichezesha ukutani naiona picha ya Yesu.

Nikaona mamaa nimepata demu, hapa sasa ndipo vyangu vinahitajika vipotee.

Ila kilichotokea jana, poh nimetema mate.

Mwenyewe nimempanga kichaangu akamuone shemeji yake, tena kwa kumpamba anatabia nzuri, mara sijui mtoto mpole, ila tulipo fika pale, mbona tumemkuta anabandikwa na njemba mimi mwenyewe nilitulia.

Kwanza sijaamini macho yangu, maana nilimpaki nje rafiki yangu nikaenda kuchungulia kwanza, yupo? ili nimkalibishe rafiki yangu aingie ndani.

Naingia tu seblen nasikia sauti za mapenzi kuashiria mtu anagongwa.

Me akh nini tena, mbona siamini.

Nikanyata mpaka mlangoni nikachungulia japo kwa tabu, namuona mchizi kampinda mchumba, nikaona mamaa inatosha.

Nikajiuliza nivunje lango lenyewe ama vipi, lakini huwezi amini sijui malaika gani aliniingia, sikufanya chochote zaidi nilirudi nyuma nikavaa viatu vyangu nikatoka nje.

Nikamwambia tu kichaangu kua dem hayupo, hao tukarudi tulipo toka.

Chamsingi nimezingatia kua sio mke wangu wa ndoa.

Pili maugonvi ya kufamaniana hamchelewi kuuana ama kutiana vilema, sasa kweli me nitolewe meno kisa dem tu, NO.

Nilicho fanya nilimtumia sms na kumumpa pongezi kwa usanii wake.

Mwisho wa picha najiona mimi ndio nimeshinda, na nimekomaa kimapezi, naweza kuishi na malaya yeyote na tusiumizane.

Angekua mshamba wa mapenzi pangechimbika, wenda angeumia ama angeumizwa.

Kwanza njemba yenyewe hiyo inaonyesha mtu mbili simuwezi labda nipewe silah, sasa nikiumia je?

Kwenda huko, kama pesa si tunatumiaga tu, nahiyo ni moja ya matumizi, sio niliuwe jitu eti kisa mapenzi, alafu nianze kuishi kwa mashaka, NO.
Kaka sio umekomaa iko hivi ulikuwa bado huja invest au kuwekeza sana kama unavyosema kwanza mahusiano yana wiki moja tu sjui mbili ila uyo manzi ni chui
 
Mkubwa ulitisha sana na ile stori ya kumwekua mwekua, kama vipi leta nyingine kutokea pande za huko nanhupo.
 
Katika siku nilionyesha uvumilivu ama naweza sema ukomavu katika mapenzi ni jana.

Maana sio kazi ndogo kumfuma mtu na mchumba wako, tena mchumba mwenyewe mpya hata week mbili sijamaliza nae halafu nisifanye chochote niamue kuondoka tu, sio poa inahutaji moyo wakiume asikuambie mtu.

Ila na nyinyi madem wengine makatili kweli. Yaani juzi tu nimempa vibunda kama vyote, dah sio poa madem muna zingua.

Tena chaajabu yeye alisikia tu kuwa nimetembea na dem fulani mtaani, aliniponda sana, "ohh we malaya kumbe, unatembea na fulan, kwanza mchafu, siwezi kushea mwanamme na malaya kama yule, sijui nini na nini ".

Maneno kibao, nikaona enhee demu ndio huyu, ananionea mpaka wivu!

Juzi nikapata vichenji fulani nikamchezeshea machenji ya kutosha tu, huku nikimuomba msamaha na kumuahidi kua kwasasa mimi ni wake hataniona na malaya tena.

Ila nilimuuliza, kweli yuko siriasi na penzi hili, asije akaniwekea mipaka mimi nisichepuke ilhal yeye ni mchepukaji mzuri tu, akanijibu "mambo ya umalaya mimi sipendi na sina muda wa kuchanganya wanaume "

Nikamuuliza kama kweli hana bwana, akaniambia yeye kawaida yake akiachana na mwanaume ndio humpa nafasi mwanaume mwengine.

Nakweli kimtazamo ni mpole, pia ni mtu wakanisani, maana huwa namuonaga akikatiza kuelekea kanisani.

Na maongezi yote haya tulikua tukiyaongea nyumbani kwake mwenyewe, na nikichezesha ukutani naiona picha ya Yesu.

Nikaona mamaa nimepata demu, hapa sasa ndipo vyangu vinahitajika vipotee.

Ila kilichotokea jana, poh nimetema mate.

Mwenyewe nimempanga kichaangu akamuone shemeji yake, tena kwa kumpamba anatabia nzuri, mara sijui mtoto mpole, ila tulipo fika pale, mbona tumemkuta anabandikwa na njemba mimi mwenyewe nilitulia.

Kwanza sijaamini macho yangu, maana nilimpaki nje rafiki yangu nikaenda kuchungulia kwanza, yupo? ili nimkalibishe rafiki yangu aingie ndani.

Naingia tu seblen nasikia sauti za mapenzi kuashiria mtu anagongwa.

Me akh nini tena, mbona siamini.

Nikanyata mpaka mlangoni nikachungulia japo kwa tabu, namuona mchizi kampinda mchumba, nikaona mamaa inatosha.

Nikajiuliza nivunje lango lenyewe ama vipi, lakini huwezi amini sijui malaika gani aliniingia, sikufanya chochote zaidi nilirudi nyuma nikavaa viatu vyangu nikatoka nje.

Nikamwambia tu kichaangu kua dem hayupo, hao tukarudi tulipo toka.

Chamsingi nimezingatia kua sio mke wangu wa ndoa.

Pili maugonvi ya kufamaniana hamchelewi kuuana ama kutiana vilema, sasa kweli me nitolewe meno kisa dem tu, NO.

Nilicho fanya nilimtumia sms na kumumpa pongezi kwa usanii wake.

Mwisho wa picha najiona mimi ndio nimeshinda, na nimekomaa kimapezi, naweza kuishi na malaya yeyote na tusiumizane.

Angekua mshamba wa mapenzi pangechimbika, wenda angeumia ama angeumizwa.

Kwanza njemba yenyewe hiyo inaonyesha mtu mbili simuwezi labda nipewe silah, sasa nikiumia je?

Kwenda huko, kama pesa si tunatumiaga tu, nahiyo ni moja ya matumizi, sio niliuwe jitu eti kisa mapenzi, alafu nianze kuishi kwa mashaka, NO.
Umewaza kikubwa Sana kijana[emoji122][emoji122][emoji122],hili la kuyofanya fujo,ila hukupaswa kutumia jumbe za kupongeza kwa kile ulichokiona kwake baada yake,inaendelea na aina nyingine ya maisha.hili la kuyofanya utoto BIG UP.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Sema umeogopa jamaa ulikuwa haumuwezi😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom