Jana nilithibitisha kuwa nimekomaa kwenye mapenzi

Umekomaa kwenye mapenzi au ni vile mlikuwa hamjaanza mahusiano? Asa wiki mbili unamuita mtu mchumba kwa mahusiano yepi? Mlikuwa bado mnatongozana ndo maana haijakuuma

Ndio kakomaa
Me nlikua nae kwa miaka nadhan
Ila nlikutana na moment kama hiyo hiyo
Na sikuongea kitu nkasep zangu
 
kikao cha mwisho mjumbe hujaiangusha kamati kuu, endelee na yuleeeeee
 
Hapo kwenye point ya njemba lenyewe mtu bee huliwezi ,
Ndy kilichokufanya ukaufyata mkia.

Ungekutana na jamaa mchovu hata mlango ungevunja ili umpe kichapo.
 
Katika siku nilionyesha uvumilivu ama naweza sema ukomavu katika mapenzi ni jana.

Maana sio kazi ndogo kumfuma mtu na mchumba wako, tena mchumba mwenyewe mpya hata week mbili sija maliza nae halafu nisifanye chochote niamue kuondoka tu, sio poa inahutaji moyo wakiume asikuambie mtu.

Ila na nyinyi madem wengine makatili kweli. Yaani juzi tu nimempa vibunda kama vyote, dah sio poa madem muna zingua.

Tena chaajabu yeye alisikia tu kua nimetembea na dem fulani mtaani, aliniponda sana, "ohh we malaya kumbe, unatembea na fulan, kwanza mchafu, siwezi kushea mwanamme na malaya kama yule, sijui nini na nini ".

Maneno kibao, nikaona enhee demu ndio huyu, ananionea mpaka wivu!

Juzi nikapata vichenji fulani nikamchezeshea machenji ya kutosha tu, huku nikimuomba msamaha na kumuahidi kua kwasasa mimi ni wake hataniona na malaya tena.

Ila nilimuuliza, kweli yuko siriasi na penzi hili, asije akaniwekea mipaka mimi nisichepuke ilhal yeye ni mchepukaji mzuri tu, akanijibu "mambo ya umalaya mimi sipendi na sina muda wa kuchanganya wanaume "

Nikamuuliza kama kweli hana bwana, akaniambia yeye kawaida yake akiachana na mwanaume ndio humpa nafasi mwanaume mwengine.

Nakweli kimtazamo ni mpole, pia ni mtu wakanisani, maana huwa namuonaga akikatiza kuelekea kanisani.

Na maongezi yote haya tulikua tukiyaongea nyumbani kwake mwenyewe, na nikichezesha ukutani naiona picha ya Yesu.

Nikaona mamaa nimepata demu, hapa sasa ndipo vyangu vinahitajika vipotee.

Ila kilichotokea jana, poh nimetema mate.

Mwenyewe nimempanga kichaangu akamuone shemeji yake, tena kwa kumpamba anatabia nzuri, mara sijui mtoto mpole, ila tulipo fika pale, mbona tumemkuta anabandikwa na njemba mimi mwenyewe nilitulia.

Kwanza sijaamini macho yangu, maana nilimpaki nje rafiki yangu nikaenda kuchungulia kwanza, yupo? ili nimkalibishe rafiki yangu aingie ndani.

Naingia tu seblen nasikia sauti za mapenzi kuashiria mtu anagongwa.

Me akh nini tena, mbona siamini.

Nikanyata mpaka mlangoni nikachungulia japo kwa tabu, namuona mchizi kampinda mchumba, nikaona mamaa inatosha.

Nikajiuliza nivunje lango lenyewe ama vipi, lakini huwezi amini sijui malaika gani aliniingia, sikufanya chochote zaidi nilirudi nyuma nikavaa viatu vyangu nikatoka nje.

Nikamwambia tu kichaangu kua dem hayupo, hao tukarudi tulipo toka.

Chamsingi nimezingatia kua sio mke wangu wa ndoa.

Pili maugonvi ya kufamaniana hamchelewi kuuana ama kutiana vilema, sasa kweli me nitolewe meno kisa dem tu, NO.

Nilicho fanya nilimtumia sms na kumumpa pongezi kwa usanii wake.

Mwisho wa picha najiona mimi ndio nimeshinda, na nimekomaa kimapezi, naweza kuishi na malaya yeyote na tusiumizane.

Angekua mshamba wa mapenzi pangechimbika, wenda angeumia ama angeumizwa.

Kwanza njemba yenyewe hiyo inaonyesha mtu mbili simuwezi labda nipewe silah, sasa nikiumia je?

Kwenda huko, kama pesa si tunatumiaga tu, nahiyo ni moja ya matumizi, sio niliuwe jitu eti kisa mapenzi, alafu nianze kuishi kwa mashaka, NO.
Mnawaokotaga wapi hawa malaya?
 
Vijana siku hizi tunafeli sehemu moja hawa mademu wa siku hizi wapo kimasilahi tu.

Ukipata demu epuka sana kurefusha mahusiano mara meseji za mara kwa mara, kubebishana mara sijui vizawadi, mara sijui ya salon na mlolongo wa mambo mengine mengi.

Mtaumia sana narudia mtaumia sana

Omba mbususu kungali mapema (ambalo ndio lengo kuu la mahusiano ya kidigital hata yeye mwenyewe anajua)

Utajikuta hautumii gharama nyingi kama mnazotumia mnapoyarefusha mahusiano. Unapiga unasepa (hit and run)

Akiwa mgumu usibembeleze tafuta mwingine kwa sababu sio mke wako huyo

NB: HIT AND RUN
Wewe ndiye maana halisi ya baharia
 
mchumba, ulishamtolea posa kwa wazazi wake? kama bado huyo ni hawara tu, ni kama kirikuu ulichokikuta kijiweni kinasubiri kukodiwa kikabebe mzigo
 
Vijana siku hizi tunafeli sehemu moja hawa mademu wa siku hizi wapo kimasilahi tu.

Ukipata demu epuka sana kurefusha mahusiano mara meseji za mara kwa mara, kubebishana mara sijui vizawadi, mara sijui ya salon na mlolongo wa mambo mengine mengi.

Mtaumia sana narudia mtaumia sana

Omba mbususu kungali mapema (ambalo ndio lengo kuu la mahusiano ya kidigital hata yeye mwenyewe anajua)

Utajikuta hautumii gharama nyingi kama mnazotumia mnapoyarefusha mahusiano. Unapiga unasepa (hit and run)

Akiwa mgumu usibembeleze tafuta mwingine kwa sababu sio mke wako huyo

NB: HIT AND RUN
Kuna mwanamke nilimtongoza juzi akanikazia namimi bila kupoteza mda nikampotezea Sasa kila nikipita ananiangalia kupitia sana na mim kama simjui

Kwa wanawake wa sahivi usitumie nguvu kubwa utakuja kuumia
 
Huo ndo uanaume sasa hawa watu hakuna kuwambembeleza hataki piga chini akileta pigo za kupenda pesa piga chini.

Kumá ziko nyingi sana mtaani zinasubiri watombaji tu.
 
Sijui nkupe Pole kwa kugongewa 🤔 au
Hongera kwa ukomavu wa mapenzi 👍
 
Mimi nimeona hapo uliposema “nikichezesha naiona picha ya Yesu ukutani”

Sasa nataka nikuulize,hiyo picha Yesu aliipigia wapi?Kapernaum au Jerusalem?
 
Ila we jamaa nyuzi zako hua nafurahi sana kuzisoma [emoji23][emoji23][emoji23]
 
mimi mpaka nikugonge ndio najua relationship imeanza, kama hujaliwa we ukiliwa na mtu mwingine shauri yakooo...
 
Siku alipo nipanga kwamba hapendi kuwa na mwanaume malaya nikajua yeye sio malaya.

Ukizingatia nilimuuza kama yuko serius na mapenzi yetu, akanijibu yuko serius, kwa kweli me alishaniingia kwenye moyo wangu.

Kwanza huwa sina tabia ya kumtambulisha dem kwa marafiki zangu kama simuamini amini.
Lakini yeye nilishaa kujipamba kwa wauni kwamba nina bonge la goma.

Kiufupi me nilisha mpenda, sema basi tu.

Ukienda sehemu yeyote ukakuta vitu vya kuashiria Hali Iko shwari, usijiachie na uongeze umakini zaidi.

Umeingia kwenye eneo unasisitiziwa kwamba Kuna usalama wa kutosha, Kaa chonjo.

Unakutana na mtu anajikita zaidi kukuonyesha uaminifu wake, Kaa Kwa kutulia.

Mtu mwenye asili yake hawezi kutumia nguvu au kujinasibu kukuaminisha chochote, anajua Hana haja ya kufanya hivyo Kwa vile utamfaham tu.
 
Back
Top Bottom