Jana kidogo niwape askari wa usalama barabarani walichokuwa wanataka kwangu, nilijikuta naichukia Serikali kwa kiwango kibaya sana

Unaweza shikwa na traffic ukiwa unaenda kulipia bima na akakuandikia kosa. Hakuna kujieleza
 
Ningependa nianze kwa kuuliza Watanzania wenzangu kabla sijaanza kutoa lawama kumbe mimi ndio mkosaji

Ivi mfano umepata dharula ilio kufanya usafir nje ya mkoa na wakat upo nje ya mkoa ulio kuepo Bima ya gar ikaisha mfano imeisha Leo na wewe kesho unasafar ya kurud mkoa ulio kua ukaamua kupanga kwamba Bima ya gar lako utabadilisha ukifika dar ni kosa!?

Je kama Bima yako imeisha siku za wikend siku ambayo hamna ofisi inafungua ofisi zao ukikamatwa kwa kosa la Bima lazima uandikiwe?, hata kama ni wikend na je kosa la Bima unaweza kuandikiwa hata Mara tano kwa siku????

Jana nimeandikiwa Mara 5 kosa la Bima na kila traffic alie niandikia akikataa kunipa risit akidai kua mashine ni mbovu na kua Ana niandikia pemben na baadae ataniandika hii ni haki?? Ivi elf 30 Mara 5 mimi naitoa wap?

Kituo cha mwisho Jana kuandikiwa fain ilikua pale mataa ya kinondon airtell alikuja trafk akalizunguka gar kabla hata hajanikagua akasema Bima yako imeisha ni kashangaa kajua vip ila sikutaka ku judge Sana sababu nilijua huu ndio mwezi wa wa mwisho wa Bima

Nikamwambia ndio kiongoz Bima yangu imeisha ila nimesha andikiwa Mara Tatu kwa kosa ili ili akajibu umeandikiwa Lin Nikamwambia nimeandikiwa Jana saa nne na Leo Alfajiri kwenye beria ya Mlandizi na Mbezi pia akasema haiwezekan tunakuandikia Nikamwambia kwa kosa ili ili moja la Bima niandikiwe Mara nne?, akasema ndio kosa ni kosa Nikamwambia kaka safar yangu mimi sikutoka kutafuta nimetoka kwenye matatizo nyumban ivyo fain itakua kubwa sito weza kulipa akasema nimpe lesen na kad ya gar ili aandike Nikamwambia kwaio boss unaniandikia akasema ndio

Basi pemben kulikua na trafk mwingine mwanamke mmama mtu alikua na nyota kama Tatu ivi nikahisi atakua boss wake ngoja nipeleke gar pale pemben nikamuombe Kwan fain sito weza kuilipa nikageuza gar ilikua kwenye taa nikaenda pale wanapo kuaga Wana kaa nimefika pale nikashuka yule mama kumbe mchezo wote anamuona Ile namsogelea tu akasema kwa saut ishia uko uko wewe, MBWA

Ukwel iliniuma mpaka nikahisi kutetemeka moyo wangu ulijawa na Hasira na uchungu nilijiona sijui vip alafu yule trafk mwingine pemben akawa ananicheka cheko la ulizan utabadilisha kitu kusema kwel kwa hasira nilisema nyie trafk mnaroho za kichaw Mnawezaje kunifanyia ivi basi likawa kosa lingine yule mama akasema Muandikie fain mbil ili aamini kua sis wachaw kwel

Jana ilibaki kidogo tu nimpige yule trafk mwanaume Kwan alizid kunipandisha hasira alipo kua anaandika uku akicheka na kuniambia tamfanya Nini kusema kwel chakumfanya nilikua Sina Zaid ya kutaka kumbomoa kichwa Lakin mpaka Sasa nashukuru mungu kwa utulivu alio nijalia Jana Kwan huenda saiz ningekua nimepewa kesi kubwa Zaid ya zile nilizo kua nazo

Jana nimekaa moyo unauma siku nzima nikiwaza neno Mbwa nimeitwa kwa sababu gani

Je kwa matatizo nilio Pata Jana ni wap naweza kusaidiwa juu ya hiz fain?
Kamanda siro hii ni haki?

Jana nilihisi mambo mawil baada ya kila trafk kuto nipa risit
Moja huenda ni maagizo kutoka juu kwanini trafk wote wasitoe risit?

Au ni formula yao polis wanajua kua Bima zinaisha na wanalitumia ilo kosa kujipatia pesa na kama utakua mgum kuwapa rushwa ndio Wana kuandikia ndiomana wote hawatoi risit? Za police

Na vip haki yangu kama Raia endapo trafk ataniandika kosa bila kunipa risit???

Pia siandiki huu uzi kisa naichukia serikal wala sababu sio hii hii inshu ni kwel imenikuta sababu toka nimekua na umri wa miaka 10 nimekua kada na mpambanaji wa chama pia hata account zangu za umu jamiforums mzalendo1q abdulhamis na team Magufuli zote izo nimezitumia kutetea serikal kwa nguvu zote hamna hata siku moja nimekaa bila kutumia nguvu zangu kuitetea serikal nilio amin ni ya wanyonge
Na kwa sababu ya hil najiapiza mwenyewe sito Kuja kutoa msaada wowote kwa police watakao uhitaji iwe Leo au hata baada ya miaka 100 ichi kitakua kama kisas kwangu na igp siro Mara nyingi Hua una tuhimiza tushirikiane na jesh la police ila police wenyewe kama ndio Hawa Wanao tubebesha mizigo ya Misumar

Nawachukia police hasa tafk walio kua Leo jtatu tar 21 December mataa ya kinondon Moroko asubui mungu atawalani mimi gar tapak mpaka nipate io hela yao ya dhulma

Na nasema sito wasamehe mpaka nakufa mungu atawalani
Asanteni

Serikal hii isipo kua Makin na watu kama Hawa bas tu ijue kua inaenda kupoteza wale watanzania waoga na wapole na kuzalisha watanzania wenye hasira kali na taifa lao kwa Wing
Mungu ibariki tz

Hii ni moja ya page yangu View attachment 1656284
Kalipe faini hizo acha pang’ang’a. Ulitakiwa kujua kuwa bima yako imeisha na by the way ungekua mwenye nia ya kulipa ungeweza kulipia popote ulipo bima haikuhitaji mpk uwepo physically ndio u renew bima yako. Hivo ulicho kipata ni stahiki yako
 
Nakushauri wapeleke kwa mkuu wao wa kituo. Majina na namba zao zipo katika hizo tiketi. Nenda kazitoe copy kabisa.

Hapo wana kesi dhidi ya huo uonevu wamekufanyia. Na watakatwa hiyo hela katika mishahara yao adabu itawashika mbwa hao.

Mimi walishaniandikia tiketi mara mbili nikaipeleka kwa mkuu wao wa kituo, jamaa alipigiwa simu kuja kujielezea na alinilipa pesa yangu.
 
Kwa mtazamo Chanya kuendesha Chombo kiwe chako au sio chako kikiwa hakina bima ni kutotambua umuhimu wa bima kwako binafsi.

Bima inakulinda wewe endapo Utasababisha ajali usiingie gharama ambazo pengine hutazimudu.Imagine ww ungegonga boda boda na abiria wake wakapata ulemavu wa kudumu ungeweza kuwalipa?Hao askari hawakufuata sheria,ww sio wa kuandikwa faini bali wa kupelekwa mahakamani.

Rejea kesi ya chenge aliposababisha ajali na kuua watu wawili,kesi ilikuwa ngumu Kwasababu hakuwa na bima na hukumu ililenga kwenye bima.Dereva sio mungu kwamba ujue nikitoka point A kwenda B Sitapata ajali.Hata zile gari zinazouzwa yard kuitoa bandarini Mpaka yard inakuwa na bima hali kadhalika IT.
 
Ningependa nianze kwa kuuliza Watanzania wenzangu kabla sijaanza kutoa lawama kumbe mimi ndio mkosaji

Ivi mfano umepata dharula ilio kufanya usafir nje ya mkoa na wakat upo nje ya mkoa ulio kuepo Bima ya gar ikaisha mfano imeisha Leo na wewe kesho unasafar ya kurud mkoa ulio kua ukaamua kupanga kwamba Bima ya gar lako utabadilisha ukifika dar ni kosa!?

Je kama Bima yako imeisha siku za wikend siku ambayo hamna ofisi inafungua ofisi zao ukikamatwa kwa kosa la Bima lazima uandikiwe?, hata kama ni wikend na je kosa la Bima unaweza kuandikiwa hata Mara tano kwa siku????

Jana nimeandikiwa Mara 5 kosa la Bima na kila traffic alie niandikia akikataa kunipa risit akidai kua mashine ni mbovu na kua Ana niandikia pemben na baadae ataniandika hii ni haki?? Ivi elf 30 Mara 5 mimi naitoa wap?

Kituo cha mwisho Jana kuandikiwa fain ilikua pale mataa ya kinondon airtell alikuja trafk akalizunguka gar kabla hata hajanikagua akasema Bima yako imeisha ni kashangaa kajua vip ila sikutaka ku judge Sana sababu nilijua huu ndio mwezi wa wa mwisho wa Bima

Nikamwambia ndio kiongoz Bima yangu imeisha ila nimesha andikiwa Mara Tatu kwa kosa ili ili akajibu umeandikiwa Lin Nikamwambia nimeandikiwa Jana saa nne na Leo Alfajiri kwenye beria ya Mlandizi na Mbezi pia akasema haiwezekan tunakuandikia Nikamwambia kwa kosa ili ili moja la Bima niandikiwe Mara nne?, akasema ndio kosa ni kosa Nikamwambia kaka safar yangu mimi sikutoka kutafuta nimetoka kwenye matatizo nyumban ivyo fain itakua kubwa sito weza kulipa akasema nimpe lesen na kad ya gar ili aandike Nikamwambia kwaio boss unaniandikia akasema ndio

Basi pemben kulikua na trafk mwingine mwanamke mmama mtu alikua na nyota kama Tatu ivi nikahisi atakua boss wake ngoja nipeleke gar pale pemben nikamuombe Kwan fain sito weza kuilipa nikageuza gar ilikua kwenye taa nikaenda pale wanapo kuaga Wana kaa nimefika pale nikashuka yule mama kumbe mchezo wote anamuona Ile namsogelea tu akasema kwa saut ishia uko uko wewe, MBWA

Ukwel iliniuma mpaka nikahisi kutetemeka moyo wangu ulijawa na Hasira na uchungu nilijiona sijui vip alafu yule trafk mwingine pemben akawa ananicheka cheko la ulizan utabadilisha kitu kusema kwel kwa hasira nilisema nyie trafk mnaroho za kichaw Mnawezaje kunifanyia ivi basi likawa kosa lingine yule mama akasema Muandikie fain mbil ili aamini kua sis wachaw kwel

Jana ilibaki kidogo tu nimpige yule trafk mwanaume Kwan alizid kunipandisha hasira alipo kua anaandika uku akicheka na kuniambia tamfanya Nini kusema kwel chakumfanya nilikua Sina Zaid ya kutaka kumbomoa kichwa Lakin mpaka Sasa nashukuru mungu kwa utulivu alio nijalia Jana Kwan huenda saiz ningekua nimepewa kesi kubwa Zaid ya zile nilizo kua nazo

Jana nimekaa moyo unauma siku nzima nikiwaza neno Mbwa nimeitwa kwa sababu gani

Je kwa matatizo nilio Pata Jana ni wap naweza kusaidiwa juu ya hiz fain?
Kamanda siro hii ni haki?

Jana nilihisi mambo mawil baada ya kila trafk kuto nipa risit
Moja huenda ni maagizo kutoka juu kwanini trafk wote wasitoe risit?

Au ni formula yao polis wanajua kua Bima zinaisha na wanalitumia ilo kosa kujipatia pesa na kama utakua mgum kuwapa rushwa ndio Wana kuandikia ndiomana wote hawatoi risit? Za police

Na vip haki yangu kama Raia endapo trafk ataniandika kosa bila kunipa risit???

Pia siandiki huu uzi kisa naichukia serikal wala sababu sio hii hii inshu ni kwel imenikuta sababu toka nimekua na umri wa miaka 10 nimekua kada na mpambanaji wa chama pia hata account zangu za umu jamiforums mzalendo1q abdulhamis na team Magufuli zote izo nimezitumia kutetea serikal kwa nguvu zote hamna hata siku moja nimekaa bila kutumia nguvu zangu kuitetea serikal nilio amin ni ya wanyonge
Na kwa sababu ya hil najiapiza mwenyewe sito Kuja kutoa msaada wowote kwa police watakao uhitaji iwe Leo au hata baada ya miaka 100 ichi kitakua kama kisas kwangu na igp siro Mara nyingi Hua una tuhimiza tushirikiane na jesh la police ila police wenyewe kama ndio Hawa Wanao tubebesha mizigo ya Misumar

Nawachukia police hasa tafk walio kua Leo jtatu tar 21 December mataa ya kinondon Moroko asubui mungu atawalani mimi gar tapak mpaka nipate io hela yao ya dhulma

Na nasema sito wasamehe mpaka nakufa mungu atawalani
Asanteni

Serikal hii isipo kua Makin na watu kama Hawa bas tu ijue kua inaenda kupoteza wale watanzania waoga na wapole na kuzalisha watanzania wenye hasira kali na taifa lao kwa Wing
Mungu ibariki tz

Hii ni moja ya page yangu View attachment 1656284
Wewe ni mzembe, hata siku moja hakuna excuse eti nilikuwa na matatizo ndio maana sijakata bima. Hakuna kitu kama hicho.
Gati ai chochombe chochote kikiwa barabarani NI LAZIMA kiwe na BIMA.
Hao kukupiga faini mara 5 wamekusaidia sana, ilipaswa yule askari wa pili kukuzuia kuendelea na safari, na wewe kupelekwa mahakamani.
Tz kuna huruma sana, hiki ulichofanya ungekuwa nchi kama US, hadi sasa hivi ungekuwa jela na ukitoka unalipa fine ya $15,270.
 
Pole sana ndugu yangu kwa yaliyo kukuta, ni kosa trafiki kukuandikia kosa au malipo bila kukupa risiti. Kwa upande wa bima yako, ni kosa kuendesha gari au chombo cha moto bila bima iliyo hai. Bima inaisha pale tarehe iliyoandikwa kwenye bima. Watu wa bima hawawezi kukulipa hata senti ukizidisha hata siku moja. Kwa hiyo angalia bima yako kila mara kabla ya kutumia usafiri wako.
Kwa upande wa trafiki na mimi yaliwahi kunikuta madhira kama yako,.. pole sana.
 
Aisee haya mkuu.....leo nimejifunza Bima ina 7 days grace period! Amazing

Bima haina grace period.. nenda NIT ama nenda Veta ukasome dereva anapaswa afanyeje kuhusu bima.. huyu jamaa mtoa mada hajapitia mafunzo ya udereva.. leseni kanunua ndio maana hajui bima
 
Ningependa nianze kwa kuuliza Watanzania wenzangu kabla sijaanza kutoa lawama kumbe mimi ndio mkosaji

Ivi mfano umepata dharula ilio kufanya usafir nje ya mkoa na wakat upo nje ya mkoa ulio kuepo Bima ya gar ikaisha mfano imeisha Leo na wewe kesho unasafar ya kurud mkoa ulio kua ukaamua kupanga kwamba Bima ya gar lako utabadilisha ukifika dar ni kosa!?

Je kama Bima yako imeisha siku za wikend siku ambayo hamna ofisi inafungua ofisi zao ukikamatwa kwa kosa la Bima lazima uandikiwe?, hata kama ni wikend na je kosa la Bima unaweza kuandikiwa hata Mara tano kwa siku????

Jana nimeandikiwa Mara 5 kosa la Bima na kila traffic alie niandikia akikataa kunipa risit akidai kua mashine ni mbovu na kua Ana niandikia pemben na baadae ataniandika hii ni haki?? Ivi elf 30 Mara 5 mimi naitoa wap?

Kituo cha mwisho Jana kuandikiwa fain ilikua pale mataa ya kinondon airtell alikuja trafk akalizunguka gar kabla hata hajanikagua akasema Bima yako imeisha ni kashangaa kajua vip ila sikutaka ku judge Sana sababu nilijua huu ndio mwezi wa wa mwisho wa Bima

Nikamwambia ndio kiongoz Bima yangu imeisha ila nimesha andikiwa Mara Tatu kwa kosa ili ili akajibu umeandikiwa Lin Nikamwambia nimeandikiwa Jana saa nne na Leo Alfajiri kwenye beria ya Mlandizi na Mbezi pia akasema haiwezekan tunakuandikia Nikamwambia kwa kosa ili ili moja la Bima niandikiwe Mara nne?, akasema ndio kosa ni kosa Nikamwambia kaka safar yangu mimi sikutoka kutafuta nimetoka kwenye matatizo nyumban ivyo fain itakua kubwa sito weza kulipa akasema nimpe lesen na kad ya gar ili aandike Nikamwambia kwaio boss unaniandikia akasema ndio

Basi pemben kulikua na trafk mwingine mwanamke mmama mtu alikua na nyota kama Tatu ivi nikahisi atakua boss wake ngoja nipeleke gar pale pemben nikamuombe Kwan fain sito weza kuilipa nikageuza gar ilikua kwenye taa nikaenda pale wanapo kuaga Wana kaa nimefika pale nikashuka yule mama kumbe mchezo wote anamuona Ile namsogelea tu akasema kwa saut ishia uko uko wewe, MBWA

Ukwel iliniuma mpaka nikahisi kutetemeka moyo wangu ulijawa na Hasira na uchungu nilijiona sijui vip alafu yule trafk mwingine pemben akawa ananicheka cheko la ulizan utabadilisha kitu kusema kwel kwa hasira nilisema nyie trafk mnaroho za kichaw Mnawezaje kunifanyia ivi basi likawa kosa lingine yule mama akasema Muandikie fain mbil ili aamini kua sis wachaw kwel

Jana ilibaki kidogo tu nimpige yule trafk mwanaume Kwan alizid kunipandisha hasira alipo kua anaandika uku akicheka na kuniambia tamfanya Nini kusema kwel chakumfanya nilikua Sina Zaid ya kutaka kumbomoa kichwa Lakin mpaka Sasa nashukuru mungu kwa utulivu alio nijalia Jana Kwan huenda saiz ningekua nimepewa kesi kubwa Zaid ya zile nilizo kua nazo

Jana nimekaa moyo unauma siku nzima nikiwaza neno Mbwa nimeitwa kwa sababu gani

Je kwa matatizo nilio Pata Jana ni wap naweza kusaidiwa juu ya hiz fain?
Kamanda siro hii ni haki?

Jana nilihisi mambo mawil baada ya kila trafk kuto nipa risit
Moja huenda ni maagizo kutoka juu kwanini trafk wote wasitoe risit?

Au ni formula yao polis wanajua kua Bima zinaisha na wanalitumia ilo kosa kujipatia pesa na kama utakua mgum kuwapa rushwa ndio Wana kuandikia ndiomana wote hawatoi risit? Za police

Na vip haki yangu kama Raia endapo trafk ataniandika kosa bila kunipa risit???

Pia siandiki huu uzi kisa naichukia serikal wala sababu sio hii hii inshu ni kwel imenikuta sababu toka nimekua na umri wa miaka 10 nimekua kada na mpambanaji wa chama pia hata account zangu za umu jamiforums mzalendo1q abdulhamis na team Magufuli zote izo nimezitumia kutetea serikal kwa nguvu zote hamna hata siku moja nimekaa bila kutumia nguvu zangu kuitetea serikal nilio amin ni ya wanyonge
Na kwa sababu ya hil najiapiza mwenyewe sito Kuja kutoa msaada wowote kwa police watakao uhitaji iwe Leo au hata baada ya miaka 100 ichi kitakua kama kisas kwangu na igp siro Mara nyingi Hua una tuhimiza tushirikiane na jesh la police ila police wenyewe kama ndio Hawa Wanao tubebesha mizigo ya Misumar

Nawachukia police hasa tafk walio kua Leo jtatu tar 21 December mataa ya kinondon Moroko asubui mungu atawalani mimi gar tapak mpaka nipate io hela yao ya dhulma

Na nasema sito wasamehe mpaka nakufa mungu atawalani
Asanteni

Serikal hii isipo kua Makin na watu kama Hawa bas tu ijue kua inaenda kupoteza wale watanzania waoga na wapole na kuzalisha watanzania wenye hasira kali na taifa lao kwa Wing
Mungu ibariki tz

Hii ni moja ya page yangu View attachment 1656284
Pole sana mkuu. Hii si sawa, hawa jamaa kuna wakati wanajiona miungu watu. Waje wajaribu kwangu siku moja, maji wataita mma.
 
Mkuu bima haiishi ghafla. Fine ulitakiwa ulipe mara moja tu, walikuonea.
unajua kazi zingne hizi bwana ,,mzee wangu ananiambiaga kuna kazi ukiafanya hata ww unakuwa ni tatizo ,kwahiyo ni kuwaangalia tu basi inatosha
 
nilishawahi kumfokea trafik mmoja pale mataa ya salendar kwenda muhimbili akidai nimevuka kwenye red light sasa hapo tayari nina mkanda wa 30000 nikamwambia kaka hii sio haki mnakosea sio kwakuwa hatuwezi fanya lolote basi mnatuchukulia hovyo kama unaandika ww andika tu basi,akaandika nikaondoka ,kufika mbele nauchunguza ule mkanda kumbe aliprint ule wa mwanzo wa 30000 basi ndo ikawa pona yangu ila wale jamaa kuna muda wanakera,ukiwa na hasira za karibu tu,unaweza kufanya jambo mpaka watu wakshangaa
 
Pole sana mkuu. Hii si sawa, hawa jamaa kuna wakati wanajiona miungu watu. Waje wajaribu kwangu siku moja, maji wataita mma.
hasa hao wanaovaa nguo za kaki ndo wanyama kabisa yaani mmhh wanakuwa na kiburi hujui kimetoka wapi kiufupi ile fani imevamiwa
 
Kwanza kosa la kutokua na bima, unapaswa kupewa adhabu kuanzia siku ya saba tokea tarehe ambayo bima yako ilikwisha.
Na ikiwa ulilipa faini kwa kosa la kutokua na bima, basi nilazima upewe stakabadhi inyo onyesha umelipa faini na pia kosa lazima liahinishwe kwenye stakabadhi hiyo. Baada ya hapo, stakabadhi hiyo itatumika kama adhabu ya kosa lako kwa muda wa siku tatu ndipo adhabu hiyo itakoma.
Na kwakuongeza tu, swala la kukutwa na kosa la kutokua na bima kwa siku moja ama mbili.... Maranyingo inahitaji tu traffic police kukupa onyo kwa mdomo.
Kwa hiyo anaweza kukata rufaa, wapi?
 
Ningependa nianze kwa kuuliza Watanzania wenzangu kabla sijaanza kutoa lawama kumbe mimi ndio mkosaji

Ivi mfano umepata dharula ilio kufanya usafir nje ya mkoa na wakat upo nje ya mkoa ulio kuepo Bima ya gar ikaisha mfano imeisha Leo na wewe kesho unasafar ya kurud mkoa ulio kua ukaamua kupanga kwamba Bima ya gar lako utabadilisha ukifika dar ni kosa!?

Je kama Bima yako imeisha siku za wikend siku ambayo hamna ofisi inafungua ofisi zao ukikamatwa kwa kosa la Bima lazima uandikiwe?, hata kama ni wikend na je kosa la Bima unaweza kuandikiwa hata Mara tano kwa siku????

Jana nimeandikiwa Mara 5 kosa la Bima na kila traffic alie niandikia akikataa kunipa risit akidai kua mashine ni mbovu na kua Ana niandikia pemben na baadae ataniandika hii ni haki?? Ivi elf 30 Mara 5 mimi naitoa wap?

Kituo cha mwisho Jana kuandikiwa fain ilikua pale mataa ya kinondon airtell alikuja trafk akalizunguka gar kabla hata hajanikagua akasema Bima yako imeisha ni kashangaa kajua vip ila sikutaka ku judge Sana sababu nilijua huu ndio mwezi wa wa mwisho wa Bima

Nikamwambia ndio kiongoz Bima yangu imeisha ila nimesha andikiwa Mara Tatu kwa kosa ili ili akajibu umeandikiwa Lin Nikamwambia nimeandikiwa Jana saa nne na Leo Alfajiri kwenye beria ya Mlandizi na Mbezi pia akasema haiwezekan tunakuandikia Nikamwambia kwa kosa ili ili moja la Bima niandikiwe Mara nne?, akasema ndio kosa ni kosa Nikamwambia kaka safar yangu mimi sikutoka kutafuta nimetoka kwenye matatizo nyumban ivyo fain itakua kubwa sito weza kulipa akasema nimpe lesen na kad ya gar ili aandike Nikamwambia kwaio boss unaniandikia akasema ndio

Basi pemben kulikua na trafk mwingine mwanamke mmama mtu alikua na nyota kama Tatu ivi nikahisi atakua boss wake ngoja nipeleke gar pale pemben nikamuombe Kwan fain sito weza kuilipa nikageuza gar ilikua kwenye taa nikaenda pale wanapo kuaga Wana kaa nimefika pale nikashuka yule mama kumbe mchezo wote anamuona Ile namsogelea tu akasema kwa saut ishia uko uko wewe, MBWA

Ukwel iliniuma mpaka nikahisi kutetemeka moyo wangu ulijawa na Hasira na uchungu nilijiona sijui vip alafu yule trafk mwingine pemben akawa ananicheka cheko la ulizan utabadilisha kitu kusema kwel kwa hasira nilisema nyie trafk mnaroho za kichaw Mnawezaje kunifanyia ivi basi likawa kosa lingine yule mama akasema Muandikie fain mbil ili aamini kua sis wachaw kwel

Jana ilibaki kidogo tu nimpige yule trafk mwanaume Kwan alizid kunipandisha hasira alipo kua anaandika uku akicheka na kuniambia tamfanya Nini kusema kwel chakumfanya nilikua Sina Zaid ya kutaka kumbomoa kichwa Lakin mpaka Sasa nashukuru mungu kwa utulivu alio nijalia Jana Kwan huenda saiz ningekua nimepewa kesi kubwa Zaid ya zile nilizo kua nazo

Jana nimekaa moyo unauma siku nzima nikiwaza neno Mbwa nimeitwa kwa sababu gani

Je kwa matatizo nilio Pata Jana ni wap naweza kusaidiwa juu ya hiz fain?
Kamanda siro hii ni haki?

Jana nilihisi mambo mawil baada ya kila trafk kuto nipa risit
Moja huenda ni maagizo kutoka juu kwanini trafk wote wasitoe risit?

Au ni formula yao polis wanajua kua Bima zinaisha na wanalitumia ilo kosa kujipatia pesa na kama utakua mgum kuwapa rushwa ndio Wana kuandikia ndiomana wote hawatoi risit? Za police

Na vip haki yangu kama Raia endapo trafk ataniandika kosa bila kunipa risit???

Pia siandiki huu uzi kisa naichukia serikal wala sababu sio hii hii inshu ni kwel imenikuta sababu toka nimekua na umri wa miaka 10 nimekua kada na mpambanaji wa chama pia hata account zangu za umu jamiforums mzalendo1q abdulhamis na team Magufuli zote izo nimezitumia kutetea serikal kwa nguvu zote hamna hata siku moja nimekaa bila kutumia nguvu zangu kuitetea serikal nilio amin ni ya wanyonge
Na kwa sababu ya hil najiapiza mwenyewe sito Kuja kutoa msaada wowote kwa police watakao uhitaji iwe Leo au hata baada ya miaka 100 ichi kitakua kama kisas kwangu na igp siro Mara nyingi Hua una tuhimiza tushirikiane na jesh la police ila police wenyewe kama ndio Hawa Wanao tubebesha mizigo ya Misumar

Nawachukia police hasa tafk walio kua Leo jtatu tar 21 December mataa ya kinondon Moroko asubui mungu atawalani mimi gar tapak mpaka nipate io hela yao ya dhulma

Na nasema sito wasamehe mpaka nakufa mungu atawalani
Asanteni

Serikal hii isipo kua Makin na watu kama Hawa bas tu ijue kua inaenda kupoteza wale watanzania waoga na wapole na kuzalisha watanzania wenye hasira kali na taifa lao kwa Wing
Mungu ibariki tz

Hii ni moja ya page yangu View attachment 1656284

Wewe kuitwa mbwa unashangaaa??!!, wenzio tumezoea toka miaka mingi🤣.

Ni ✊🏻 tena hiyo,🤣
 
Back
Top Bottom