Jana kidogo niwape askari wa usalama barabarani walichokuwa wanataka kwangu, nilijikuta naichukia Serikali kwa kiwango kibaya sana

Hutakiwi kuendesha gari isiyo na bima kwahio ukilimwa fine Sawa, ukikamatwa tena unaendesha bila bima unalimwa tena na ingekuwa nchi za wengine walioendelea wangechukua Hilo gari wakaenda kuliponda scrap yard na wewe ungeenda jela kwa kurudia kosa.
Hata mimi nilikua bingwa wa majibu kama haya kwenye matatizo ya watu ila kwakua mimi yamenikuta basi hata wewe jiandae.
 
Mkuu una uhakika ni hii ya siku saba?! Kwamba unaruhusiwa kuendesha bila bima kwa siku saba,likitokea la kutokea nani anabeba dhamana?!
Mkuu, sikuzote linapo tokea lolote kuhusu bima kimsingi ni wewe mhusuka ndie utakae wajibika kama unayo bima ama hauna bima.

Sikuzote linapo tokea swala lolote kwenye gari lako, polisi ujihusisha kwa kuangalia na kuidhinisha mwenye kosa. Na swala la dhamana ama kuwajibika/malipo ni lako wewe na bima husika.

Hii ya siku saba iliwahi kunitoke mimi mwenyewe na nikapewa onyo kwa mdomo.
 
Ninachojua bima ikikata inatakiwa ulipie nyingine on the spot, bima haina grace period, wajuvi waje watujuze zaidi Ila bima haina grace period.

Pia, wenye makampuni ya bima wanatakiwa kukujuza/kukukumbusha angalau wiki moja kabla ya expiry date ili ikiwezekana ujiandae, na kama inakata weekend uende kabla ili uwe safe zaidi. Gari haitakiwi barabarani bila bila.
Mie nilinusurika kutiwa nyavuni pale kamata nikatia akili. Toka siku ile gari nikawa naitoa jioni tu kuelekea usiku mpaka nilipokata bima upya hivi karibuni.
 
Hata mimi nilikua bingwa wa majibu kama haya kwenye matatizo ya watu ila kwakua mimi yamenikuta basi hata wewe jiandae
Unataka nikujibu unavyopenda kusikia? Bima sio kitu cha mchezo mchezo. Kama hujijali wewe kata third party ulinde wengine wewe upambane na hali yako.

Bima haiishi ghafla unajua kabisa lini inaisha kama hujakaa vizuri paki gari.
 
Mkuu, sikuzote linapo tokea lolote kuhusu bima kimsingi ni wewe mhusuka ndie utakae wajibika kama unayo bima ama hauna bima.
Sikuzote linapo tokea swala lolote kwenye gari lako, polisi ujihusisha kwa kuangalia na kuidhinisha mwenye kosa. Na swala la dhamana ama kuwajibika/malipo ni lako wewe na bima husika.
Hii ya siku saba iliwahi kunitoke mimi mwenyewe na nikapewa onyo kwa mdomo.
Aisee haya mkuu, leo nimejifunza Bima ina 7 days grace period! Amazing
 
Ningependa nianze kwa kuuliza Watanzania wenzangu kabla sijaanza kutoa lawama kumbe mimi ndio mkosaji

Ivi mfano umepata dharula ilio kufanya usafir nje ya mkoa na wakat upo nje ya mkoa ulio kuepo Bima ya gar ikaisha mfano imeisha Leo na wewe kesho unasafar ya kurud mkoa ulio kua ukaamua kupanga kwamba Bima ya gar lako utabadilisha ukifika dar ni kosa!?

Je kama Bima yako imeisha siku za wikend siku ambayo hamna ofisi inafungua ofisi zao ukikamatwa kwa kosa la Bima lazima uandikiwe?, hata kama ni wikend na je kosa la Bima unaweza kuandikiwa hata Mara tano kwa siku????

Jana nimeandikiwa Mara 5 kosa la Bima na kila traffic alie niandikia akikataa kunipa risit akidai kua mashine ni mbovu na kua Ana niandikia pemben na baadae ataniandika hii ni haki?? Ivi elf 30 Mara 5 mimi naitoa wap?

Kituo cha mwisho Jana kuandikiwa fain ilikua pale mataa ya kinondon airtell alikuja trafk akalizunguka gar kabla hata hajanikagua akasema Bima yako imeisha ni kashangaa kajua vip ila sikutaka ku judge Sana sababu nilijua huu ndio mwezi wa wa mwisho wa Bima

Nikamwambia ndio kiongoz Bima yangu imeisha ila nimesha andikiwa Mara Tatu kwa kosa ili ili akajibu umeandikiwa Lin Nikamwambia nimeandikiwa Jana saa nne na Leo Alfajiri kwenye beria ya Mlandizi na Mbezi pia akasema haiwezekan tunakuandikia Nikamwambia kwa kosa ili ili moja la Bima niandikiwe Mara nne?, akasema ndio kosa ni kosa Nikamwambia kaka safar yangu mimi sikutoka kutafuta nimetoka kwenye matatizo nyumban ivyo fain itakua kubwa sito weza kulipa akasema nimpe lesen na kad ya gar ili aandike Nikamwambia kwaio boss unaniandikia akasema ndio

Basi pemben kulikua na trafk mwingine mwanamke mmama mtu alikua na nyota kama Tatu ivi nikahisi atakua boss wake ngoja nipeleke gar pale pemben nikamuombe Kwan fain sito weza kuilipa nikageuza gar ilikua kwenye taa nikaenda pale wanapo kuaga Wana kaa nimefika pale nikashuka yule mama kumbe mchezo wote anamuona Ile namsogelea tu akasema kwa saut ishia uko uko wewe, MBWA

Ukwel iliniuma mpaka nikahisi kutetemeka moyo wangu ulijawa na Hasira na uchungu nilijiona sijui vip alafu yule trafk mwingine pemben akawa ananicheka cheko la ulizan utabadilisha kitu kusema kwel kwa hasira nilisema nyie trafk mnaroho za kichaw Mnawezaje kunifanyia ivi basi likawa kosa lingine yule mama akasema Muandikie fain mbil ili aamini kua sis wachaw kwel

Jana ilibaki kidogo tu nimpige yule trafk mwanaume Kwan alizid kunipandisha hasira alipo kua anaandika uku akicheka na kuniambia tamfanya Nini kusema kwel chakumfanya nilikua Sina Zaid ya kutaka kumbomoa kichwa Lakin mpaka Sasa nashukuru mungu kwa utulivu alio nijalia Jana Kwan huenda saiz ningekua nimepewa kesi kubwa Zaid ya zile nilizo kua nazo

Jana nimekaa moyo unauma siku nzima nikiwaza neno Mbwa nimeitwa kwa sababu gani

Je kwa matatizo nilio Pata Jana ni wap naweza kusaidiwa juu ya hiz fain?
Kamanda siro hii ni haki?

Jana nilihisi mambo mawil baada ya kila trafk kuto nipa risit
Moja huenda ni maagizo kutoka juu kwanini trafk wote wasitoe risit?

Au ni formula yao polis wanajua kua Bima zinaisha na wanalitumia ilo kosa kujipatia pesa na kama utakua mgum kuwapa rushwa ndio Wana kuandikia ndiomana wote hawatoi risit? Za police

Na vip haki yangu kama Raia endapo trafk ataniandika kosa bila kunipa risit???

Pia siandiki huu uzi kisa naichukia serikal wala sababu sio hii hii inshu ni kwel imenikuta sababu toka nimekua na umri wa miaka 10 nimekua kada na mpambanaji wa chama pia hata account zangu za umu jamiforums mzalendo1q abdulhamis na team Magufuli zote izo nimezitumia kutetea serikal kwa nguvu zote hamna hata siku moja nimekaa bila kutumia nguvu zangu kuitetea serikal nilio amin ni ya wanyonge
Na kwa sababu ya hil najiapiza mwenyewe sito Kuja kutoa msaada wowote kwa police watakao uhitaji iwe Leo au hata baada ya miaka 100 ichi kitakua kama kisas kwangu na igp siro Mara nyingi Hua una tuhimiza tushirikiane na jesh la police ila police wenyewe kama ndio Hawa Wanao tubebesha mizigo ya Misumar

Nawachukia police hasa tafk walio kua Leo jtatu tar 21 December mataa ya kinondon Moroko asubui mungu atawalani mimi gar tapak mpaka nipate io hela yao ya dhulma

Na nasema sito wasamehe mpaka nakufa mungu atawalani
Asanteni

Serikal hii isipo kua Makin na watu kama Hawa bas tu ijue kua inaenda kupoteza wale watanzania waoga na wapole na kuzalisha watanzania wenye hasira kali na taifa lao kwa Wing
Mungu ibariki tz

Hii ni moja ya page yangu View attachment 1656284
Mkuu - kutembea na gari iliyokwisha bima ni kosa, hiyo ni haki uadhibiwe, ila sio kwa kiwango hicho ulichofanyiwa. Huyo Trafiki aliekuita "MBWA" ; na yeye alifanya makosa, ulitakiwa either na wewe umuadhibu hapohapo; au umpeleke mbele - hata kumfungulia mashtaka kwa kosa la kukuita wewe mbwa. Sidhani kama alishawahi kukukuta ukibwaka, mpaka akuite "MBWA".
 
Mie nilinusurika kutiwa nyavuni pale kamata nikatia akili. Toka siku ile gari nikawa naitoa jioni tu kuelekea usiku mpaka nilipokata bima upya hivi karibuni.
Ni heri kutembea bila leseni, lakini sio bima.
 
Ningependa nianze kwa kuuliza Watanzania wenzangu kabla sijaanza kutoa lawama kumbe mimi ndio mkosaji

Ivi mfano umepata dharula ilio kufanya usafir nje ya mkoa na wakat upo nje ya mkoa ulio kuepo Bima ya gar ikaisha mfano imeisha Leo na wewe kesho unasafar ya kurud mkoa ulio kua ukaamua kupanga kwamba Bima ya gar lako utabadilisha ukifika dar ni kosa!?

Je kama Bima yako imeisha siku za wikend siku ambayo hamna ofisi inafungua ofisi zao ukikamatwa kwa kosa la Bima lazima uandikiwe?, hata kama ni wikend na je kosa la Bima unaweza kuandikiwa hata Mara tano kwa siku????

Jana nimeandikiwa Mara 5 kosa la Bima na kila traffic alie niandikia akikataa kunipa risit akidai kua mashine ni mbovu na kua Ana niandikia pemben na baadae ataniandika hii ni haki?? Ivi elf 30 Mara 5 mimi naitoa wap?

Kituo cha mwisho Jana kuandikiwa fain ilikua pale mataa ya kinondon airtell alikuja trafk akalizunguka gar kabla hata hajanikagua akasema Bima yako imeisha ni kashangaa kajua vip ila sikutaka ku judge Sana sababu nilijua huu ndio mwezi wa wa mwisho wa Bima

Nikamwambia ndio kiongoz Bima yangu imeisha ila nimesha andikiwa Mara Tatu kwa kosa ili ili akajibu umeandikiwa Lin Nikamwambia nimeandikiwa Jana saa nne na Leo Alfajiri kwenye beria ya Mlandizi na Mbezi pia akasema haiwezekan tunakuandikia Nikamwambia kwa kosa ili ili moja la Bima niandikiwe Mara nne?, akasema ndio kosa ni kosa Nikamwambia kaka safar yangu mimi sikutoka kutafuta nimetoka kwenye matatizo nyumban ivyo fain itakua kubwa sito weza kulipa akasema nimpe lesen na kad ya gar ili aandike Nikamwambia kwaio boss unaniandikia akasema ndio

Basi pemben kulikua na trafk mwingine mwanamke mmama mtu alikua na nyota kama Tatu ivi nikahisi atakua boss wake ngoja nipeleke gar pale pemben nikamuombe Kwan fain sito weza kuilipa nikageuza gar ilikua kwenye taa nikaenda pale wanapo kuaga Wana kaa nimefika pale nikashuka yule mama kumbe mchezo wote anamuona Ile namsogelea tu akasema kwa saut ishia uko uko wewe, MBWA

Ukwel iliniuma mpaka nikahisi kutetemeka moyo wangu ulijawa na Hasira na uchungu nilijiona sijui vip alafu yule trafk mwingine pemben akawa ananicheka cheko la ulizan utabadilisha kitu kusema kwel kwa hasira nilisema nyie trafk mnaroho za kichaw Mnawezaje kunifanyia ivi basi likawa kosa lingine yule mama akasema Muandikie fain mbil ili aamini kua sis wachaw kwel

Jana ilibaki kidogo tu nimpige yule trafk mwanaume Kwan alizid kunipandisha hasira alipo kua anaandika uku akicheka na kuniambia tamfanya Nini kusema kwel chakumfanya nilikua Sina Zaid ya kutaka kumbomoa kichwa Lakin mpaka Sasa nashukuru mungu kwa utulivu alio nijalia Jana Kwan huenda saiz ningekua nimepewa kesi kubwa Zaid ya zile nilizo kua nazo

Jana nimekaa moyo unauma siku nzima nikiwaza neno Mbwa nimeitwa kwa sababu gani

Je kwa matatizo nilio Pata Jana ni wap naweza kusaidiwa juu ya hiz fain?
Kamanda siro hii ni haki?

Jana nilihisi mambo mawil baada ya kila trafk kuto nipa risit
Moja huenda ni maagizo kutoka juu kwanini trafk wote wasitoe risit?

Au ni formula yao polis wanajua kua Bima zinaisha na wanalitumia ilo kosa kujipatia pesa na kama utakua mgum kuwapa rushwa ndio Wana kuandikia ndiomana wote hawatoi risit? Za police

Na vip haki yangu kama Raia endapo trafk ataniandika kosa bila kunipa risit???

Pia siandiki huu uzi kisa naichukia serikal wala sababu sio hii hii inshu ni kwel imenikuta sababu toka nimekua na umri wa miaka 10 nimekua kada na mpambanaji wa chama pia hata account zangu za umu jamiforums mzalendo1q abdulhamis na team Magufuli zote izo nimezitumia kutetea serikal kwa nguvu zote hamna hata siku moja nimekaa bila kutumia nguvu zangu kuitetea serikal nilio amin ni ya wanyonge
Na kwa sababu ya hil najiapiza mwenyewe sito Kuja kutoa msaada wowote kwa police watakao uhitaji iwe Leo au hata baada ya miaka 100 ichi kitakua kama kisas kwangu na igp siro Mara nyingi Hua una tuhimiza tushirikiane na jesh la police ila police wenyewe kama ndio Hawa Wanao tubebesha mizigo ya Misumar

Nawachukia police hasa tafk walio kua Leo jtatu tar 21 December mataa ya kinondon Moroko asubui mungu atawalani mimi gar tapak mpaka nipate io hela yao ya dhulma

Na nasema sito wasamehe mpaka nakufa mungu atawalani
Asanteni

Serikal hii isipo kua Makin na watu kama Hawa bas tu ijue kua inaenda kupoteza wale watanzania waoga na wapole na kuzalisha watanzania wenye hasira kali na taifa lao kwa Wing
Mungu ibariki tz

Hii ni moja ya page yangu View attachment 1656284
Siku nyingine kuwa mwanaume, ulipaswa uchukue namba zao za vitambulisho vya upolisi, ungeziweka hapa ungeona jinsi ambavyo wangeshughulikiwa, hao ni traffic wapuuzi wachache wanaoharibu taswira ya jeshi la polisi, wanapaswa kushughulikiwa kama waharifu wengine. Hivyo usiilamu serikali wala chama chetu cha CCM, hao ni waharifu kama walivyo waharifu wengine ambapo huwezi kusema vijana wote wezi.
 
Back
Top Bottom