Jana kidogo niwape askari wa usalama barabarani walichokuwa wanataka kwangu, nilijikuta naichukia Serikali kwa kiwango kibaya sana

Kuna jamaa yangu alishakiri kosa na kuomba samahani na ya kubrashia viatu juu,baada ya kama wiki 2 akapigwa na zile kamera zao,kuuliza kosa lake akatajiwa hadi eneo alilofanya hilo kosa,kumbe yule trafiki siku alimuandikia na akumuambia matokeo yake akalipa na elfu 40,elfu 30 faini elfub10 ya penalti kwa kuchelewa kulipa ile faini,trafiki wa bongo wana roho mbaya zaidi ya shetani
Ukiingia kwenye 'majadiliano' usitoe leseni
We komaa na maongezi tu huku unalainisha vyuma
 
Hapo una makosa makubwa sana tena sanaa haijalishi inabidi uangalie bima muda wote je ungegonga na kuuwa leo ungekuwa na hela za kulipa??

Pili next time hawa askari wana wakubwa zao ambao wapo ofisini ukiona siku nyingine unaitwa MBWA una haki ya kuomba number ya askari na jina lake then njoo humu ndani tutakusaidia nini cha kufanya....Askari hana mamlaka ya kukuita MBWA....
 
Ok
 
Hata mimi sizifahamu hizo ID zingine zilizotajwa lakini kwa ID yake hiyo hiyo ukiangalia threads zake za nyuma, inatosha kufahamu ni muunga juhudi mwenzetu!!
Hii ni I'd yangu ingine
Screenshot_20201223-074434.jpg
 
Hapo una makosa makubwa sana tena sanaa haijalishi inabidi uangalie bima muda wote je ungegonga na kuuwa leo ungekuwa na hela za kulipa??

Pili next time hawa askari wana wakubwa zao ambao wapo ofisini ukiona siku nyingine unaitwa MBWA una haki ya kuomba number ya askari na jina lake then njoo humu ndani tutakusaidia nini cha kufanya....Askari hana mamlaka ya kukuita MBWA....
Huwezi kuitwa mbwa bila sababu

Polisi wetu sio vichaa, nao wana watoto, ndugu, marafiki na jamaa

Ukute ana tabia za mbwa
 
Back
Top Bottom