Jana kidogo niwape askari wa usalama barabarani walichokuwa wanataka kwangu, nilijikuta naichukia Serikali kwa kiwango kibaya sana

Kwanza kosa la kutokua na bima, unapaswa kupewa adhabu kuanzia siku ya saba tokea tarehe ambayo bima yako ilikwisha.

Na ikiwa ulilipa faini kwa kosa la kutokua na bima, basi nilazima upewe stakabadhi inyo onyesha umelipa faini na pia kosa lazima liahinishwe kwenye stakabadhi hiyo. Baada ya hapo, stakabadhi hiyo itatumika kama adhabu ya kosa lako kwa muda wa siku tatu ndipo adhabu hiyo itakoma.

Na kwakuongeza tu, swala la kukutwa na kosa la kutokua na bima kwa siku moja ama mbili.... Maranyingo inahitaji tu traffic police kukupa onyo kwa mdomo.
 
Sawa walimuonea lakini kumbuka kwa maelezo yake jana kaandikiwa na leo akawasha tena chombo akaingiza barabarani maana yake hata traffic anajua huyu sugu na sheria inasema gari yeyote ya moto inapaswa kuwa na bima iliyo hai
Hujanielewa mkuu Jana na Leo siku zote izo nilikua safarin natoka mkoa narud dar sio kwamba nilikua mjin kwaio matatizo yote yamenikuta wakat niko njian kurud mjin
 
Kwanza kosa la kutokua na bima, unapaswa kupewa adhabu kuanzia siku ya saba tokea tarehe ambayo bima yako ilikwisha.
Na ikiwa ulilipa faini kwa kosa la kutokua na bima, basi nilazima upewe stakabadhi inyo onyesha umelipa faini na pia kosa lazima liahinishwe kwenye stakabadhi hiyo. Baada ya hapo, stakabadhi hiyo itatumika kama adhabu ya kosa lako kwa muda wa siku tatu ndipo adhabu hiyo itakoma.
Na kwakuongeza tu, swala la kukutwa na kosa la kutokua na bima kwa siku moja ama mbili.... Maranyingo inahitaji tu traffic police kukupa onyo kwa mdomo.
Mkuu una uhakika ni hii ya siku saba?! Kwamba unaruhusiwa kuendesha bila bima kwa siku saba, likitokea la kutokea nani anabeba dhamana?!
 
Hujanielewa mkuu Jana na Leo siku zote izo nilikua safarin natoka mkoa narud dar sio kwamba nilikua mjin kwaio matatizo yote yamenikuta wakat niko njian kurud mjin
Hutakiwi kuendesha gari isiyo na bima kwahiyo ukilimwa fine Sawa, ukikamatwa tena unaendesha bila bima unalimwa tena na ingekuwa nchi za wengine walioendelea wangechukua Hilo gari wakaenda kuliponda scrap yard na wewe ungeenda jela kwa kurudia kosa.
 
Ninachojua bima ikikata inatakiwa ulipie nyingine on the spot, bima haina grace period, wajuvi waje watujuze zaidi Ila bima haina grace period.

Pia, wenye makampuni ya bima wanatakiwa kukujuza/kukukumbusha angalau wiki moja kabla ya expiry date ili ikiwezekana ujiandae, na kama inakata weekend uende kabla ili uwe safe zaidi. Gari haitakiwi barabarani bila bila.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom