Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,263
- 40,294
Amekupost kuuambia ulimwengu jinsi anavyokupenda na wewe ndie mwanaume pekee kwenye maisha yake?
Sijawahi kushabikia huo ujingagirlfriend days, boyfriend days, happy birthdays, new year, mama's day, father's day nk ni ujinga mtupu, money wasters, time wasters!
Ishiaa hapo kwenye kununua meengine tuachie sisi wazee wa baraza tutaamua ugomviWengine pesa ndo namna yao ya kununua
Unazungumzia katiba au rasimu au katiba ya wananchi au katiba ya rasimu ya warioba? Wewe unazungumzia walichosema ni kijitabu tu au?Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haitambui uwepo wa siku hii kwa hiyo haina umuhimu
Kwamba akikupost biashara yake itakua hatariniNatafuta Ajira Hiyo nguvu ya kukupost anaipata wapi Kwanza wakati ana wanaume wengi ndio maana wadada wengi wakiulizwa na camera ataje jina la boyfriend wake Hana huo ujasiri wa kumtaja
Hata sijui ila katika pitapita zangu mtandaoni asubuhi ya leo ndio nimegundua ilikua janaBoyfriend days zipo ngapi kwa mwaka?
๐๐๐Siyo kupostiwa tu hata sms hakuna, nimeamshwa na sms za ajabu ajabu TAKUKURU, PIGA KURA, M-KOPA ndugu unakumbushwa kulipa lile deni ulilokopa ukamtumia yule mbuzi asiyekupenda hapo juzi kati.
Umempost mpenzi wako?Kuna aina ya mambo achieni wanandoa..
Amekupost?Kuna metrics nyingi zaidi za kupima Mwanamume mwema zaidi ya kutoa pesa.
Maana inawezekana si wewe tu unayepata hizo pesa, sasa wewe jichoreshe mtandaoni mwanaume pekee wa maisha yako uje ujipate kwenye kamati ya harusi ya huyu mwanamume wa maisha yako na bibi harusi sio wewe.
Wengine pesa ndo namna yao ya kununua loyalty yako tu. They'll treat you like sh#t then remind you of the money they give you. Basically they think money is everything.
Sio muaminifu, hakuheshimu, dharau, yaani ukute hata hakupendi basi tu kaamua wewe ndo utakuwa place holder / wa kumpa image.
Anyways kama hao ni mwanamke na mwanamume mwema kweli, he need not waste more time: amuoe, aendelee kumtunza, awe muaminifu na amuheshimu, mbona kupostiwa kitu kidogo sana.
Sio tu boyfriend day. Utakuwa whatsapp profile picture, kila outing utapostiwa tumuone sponsor, anniversary, special days utapostiwa, hata kwenye bango huko barabarani.
Kwa hii comment yako bila shaka haujampostKupostiwa ndo kupendwa mkuu? Unaweza ukapostiwa na bado ukavyuu mwenyewe.
Anyway umeenda mbali mno waliwishiwa hata kwa a sweet text message au phone call๐