Utanikuta hapo nje, tafadhali nijie na Kiko tu 🤗03:00
Stepping out for some fresh air, will be back after an hour to close the guard booth 😎
🌚🤸🏽♀
Nilikuwa hewani na ungo wala nisingekuona!Utanikuta hapo nje, tafadhali nijie na Kiko tu 🤗
Utafanya tuzuie leseni yako, maana unaruka hata siku ambazo babu anahitaji umletee kiko 🤭Nilikuwa hewani na ungo wala nisingekuona!
Well narrated ✍️04:05
Life is short—make it count.
You don’t get a second chance.
Take risks & chase dreams.
Spend time with people you love.
Leave a legacy worth remembering.
Live a life you’re proud of.
Follow
Mida yetu ya kazi ni kila siku za kazi usiku wa manane mkizuia tunaruka sangapi sasa!Utafanya tuzuie leseni yako, maana unaruka hata siku ambazo babu anahitaji umletee kiko 🤭
Nina alosto unajua mjukuu
Kifo ni kifo tu.Well narrated ✍️
Lakini sisi tukiendelea kuvuta Kiko zetu, mnatuambia tutakufa na TB
Kwahiyo tuchague tufe na TB ama baridi lituue babu zenu 🤗
4:25am
Ni kweli mjukuu, fanya uniletee sasa 🤗Kifo ni kifo tu.
Choose your hard.
Sijui mkwe akitaka kukusalimia usiku wa manane unafanyaje, na mjukuu anakuwa zake viwanja muda huoMida yetu ya kazi ni kila siku za kazi usiku wa manane mkizuia tunaruka sangapi sasa!
alikushauri nini?Ni kweli mjukuu, fanya uniletee sasa 🤗
Nimeacha kumsikiliza dokta Janabi baada ya kauli yako hapo juu 🤪
Ninaangusha ungo alipo, uzuri anaikubali sana kazi yanguSijui mkwe akitaka kukusalimia usiku wa manane unafanyaje, na mjukuu anakuwa zake viwanja muda huo
Koh koh koh 🤭
4:53AM