Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,518
- 29,670
Kazi na dahwa🤣🤣..
khaaa unakula saa hizi hakita meng’enywa vizuriNimetoka kuchukua chips kavu, ni boost tena Madrid amanemaliza chakula choose baada ya vibe la ushindi..
Hii ndo raha ya kuishi karibu na mainroad
Mitaa gani hiyo saa nane muuza chips yuko live ?Nimetoka kuchukua chips kavu, ni boost tena Madrid amanemaliza chakula choose baada ya vibe la ushindi..
Hii ndo raha ya kuishi karibu na mainroad
Kwenda wapi tena ? 😎3days to go😊
si mwezi uishe😎😅Kwenda wapi tena ? 😎
Mjini watu hawalaliMitaa gani hiyo saa nane muuza chips yuko live ?