mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,944
- 81,595
Unaweza ukawa mwanamke na askari bora kwa wakati mmoja.Sio eneo la kazi sasa π€£π€£
Huu mtego kamanda The Gworl π€£π€£Unaweza ukawa mwanamke na askari bora kwa wakati mmoja.
Si tulikubaliana wanawake wanaweza?
Sasa na wewe jikubali, askari mrembo.π
Ulinzini wote ni jinsia Me lelooo...Unaweza ukawa mwanamke na askari bora kwa wakati mmoja.
Si tulikubaliana wanawake wanaweza?
Sasa na wewe jikubali, askari mrembo.π
Ushafukuzwa kazi. Haupo kwenye roster ya walinzi.Leo nipoo apa..π€
Yani anaingia lindoni lakini mate yanamtoka akikuona tuπ€£π€£Kijana wetu yupo kwenye malezi huyu
Unaniudhi.Ulinzini wote ni jinsia Me lelooo...
Hamna heshima na protocol huyuYani anaingia lindoni lakini mate yanamtoka akikuona tuπ€£π€£
Unaudhikaje ?Unaniudhi.
Kubali kwamba wewe ni kamanda mrembo.Unaudhikaje ?
Observer tuuπUshafukuzwa kazi. Haupo kwenye roster ya walinzi.
Endelea kuudhika lelooKubali kwamba wewe ni kamanda mrembo.