Unaweza unaweza tena .πππ Ndio maana unaenda sawa na guner.. Uvumilivu wako ni mkubwa.ππKazi yangu unaikubali sana, unanipa vyeo tu vya upelelezi
achana nae , yeye anasubiri kama mariam alivyopelekwa kwa josef, unataka uwe kikosi namba moja bila kupigania namba ukaonekana ?Sasa koloni jipya unalitoa wapi? Sambaratisha himaya ya mzembe, the strong one will survive this is fkn jungle..ππ
una akli sana KamandaSasa koloni jipya unalitoa wapi? Sambaratisha himaya ya mzembe, the strong one will survive this is fkn jungle..ππ
Home g nipo upande wako mi nilijua unadeka deka na kujishaua ili aongeze kasi.. kumbe hajagusa kumoyo πππ sikiliza achana nae akakufe mbele na uzee wake .... Kwanza mzee wa nininimesha muona huyu ndugu yangu sijui tresor kampa nini mpka awe upande wake
Lakini siunanipenda hivyohivyo?Unaweza unaweza tena .πππ Ndio maana unaenda sawa na guner.. Uvumilivu wako ni mkubwa.ππ
Mkuu umejua kunimaliza kimtindo, yaani unaniua kama huniui vile, hahahahahaJulipue tu! Unaweza ukanyakua kombe! Uzuri wa tresor hata akiwa nao 10 hamuwezi kujuanaπ€£
Nimekugeuka general..nipo na home g ..endelea na wazee wenzako babeki kwanza atakutambulishajeuna akli sana Kamanda
hahahahahaha,khaa hapa sitoboi ,kamanda nae kanigeukaHome g nipo upande wako mi nilijua unadeka deka na kujishaua ili aongeze kasi.. kumbe hajagusa kumoyo πππ sikiliza achana nae akakufe mbele na uzee wake .... Kwanza mzee wa nini
hahahahahaha, kudadeki uchawi upo,fitina zipo ,mara hii kamanda unanigeuka ? hii dhambi utailipaNimekugeuja general..nipo na home g ..endelea na wazee wenzako babeki kwanza atakutambulishaje
Ndio ndio hata wewe unajua ..abhuju bujuuLakini siunanipenda hivyohivyo?
dahLakini siunanipenda hivyohivyo?
Na kitambi changu plus ubonge vuta picha nilivyobrushβΊοΈNdio ndio hata wewe unajua ..abhuju bujuu
kamanda hata wewe? ina maana hii kamnda ingekua kule Fizi,Musisi na uvira ,ungenigeuka mbele ya wale majamaa?Ndio ndio hata wewe unajua ..abhuju bujuu
hahahahahaha,khaa hapa sitoboi ,kamanda nae kanigeuka
Trust no oneee ..fita ni fiiita general.. and for the first time general gone wrong..πππhahahahahaha, kudadeki uchawi upo,fitina zipo ,mara hii kamanda unanigeuka ? hii dhambi utailipa
sawa katafute tresorπhahahahaha, ok basi acha nitafute ambae yeye anajua 1st inapatikanaje uwanjani
Hivyo hivyo tena kimekupendeza koz kimebalance ...I mean the definition of beauty and balance ni kukuangalia wewe ephen mshauri ππNa kitambi changu plus ubonge vuta picha nilivyobrushβΊοΈ
......aaaai utajua mwenyeweee....kamanda hata wewe? ina maana hii kamnda ingekua kule Fizi,Musisi na uvira ,ungenigeuka mbele ya wale majamaa?
nimecheka kwa sautiπ π π π π et nenda bwana dah,, rafiki ako muoga muoga alf bado hajajua anataka nini hebu muache......aaaai utajua mwenyeweee....
π€Έπ€Έπ€Έ We mtu Gani huna shoot on target hata Moja..nenda bwanaππ