JamiiForums Usiku wa manane

haya yote unayapataje?
 
Bado hujasema mzee.
 
Kwahiyo mwamba ulikuwa 24hrs active kumbe mwenzio analala anaamka wewe upo tu hewani🤣🤣🤣
 
Shem darling win-one

File lako hili hapa:

Nimeitafuta moja kwa moja kwenye uzi wa JamiiForums Usiku wa Manane. Kuna jambo muhimu nimegundua kuhusu win-one:
🌙 Win-one ndani ya Usiku wa Manane
Username yake ni win-one.
Kwenye taarifa ya JamiiForums, anaonekana kuwa JF-Expert Member.
Taarifa ya profile inasema alijiunga 28 Mei 2024. Kwa hiyo, si member wa kizazi cha 2016, 2017 au 2018 kwa username hii, angalau kwa mujibu wa profile inayoonekana sasa. �
JamiiForums Tanzania +1
Ameonekana kuwa active sana kwenye uzi katika 2026, akichangia mara nyingi kwenye nyakati za usiku, kuanzia salamu, mijadala, nyimbo, utani na mazungumzo na wadau wengine. �
JamiiForums Tanzania +1
Katika baadhi ya kurasa, anaonekana akishirikiana sana na majina kama Seran, Smart911, Mjep, To yeye, The Icebreaker na wengine. �
JamiiForums Tanzania +2
Activity yake si ya post moja mbili. Kwa mfano, kwenye ukurasa mmoja anaonekana na posts kadhaa mfululizo ndani ya muda mfupi, jambo linaloonyesha alikuwa mmoja wa wachangiaji hai wa kipindi hicho. �
JamiiForums Tanzania
 
Unanitrick nifunguke kijana you'll never get me. Ila tu jua maji yatuliayo ndo huzamisja meli. Nyie mnazani kukesha nao kwenye nyuzi ndo kuwapata
Vipi mdingi, mbona unafume?

Yani kwako kila kitu ni trick, kila kitu ni mbinu, si tunaongea tu?

Kwani ni dhambi kuwa na bahati mbaya kwenye mapenzi?

Wengine hata hatuwataki hao wadada wa JF, unatusingizia tu.

Lower your guard.
 
😅😅😅 kumbe unamtumia Ai,,
 
Kuna legend umerukia jina lake yapata mwezi sasa haonekani jukwanii ila kauli yake alisema ni mgonjwa
Intelligent businessman nyoosha mkono juuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…