Em nitumie tena picha ya huo mguu nione vizuri tatizo ni nini πJF usiku wa manane naombeni dawa ya kuondoa haya mataka taka miguuni kwangu yananikata kinyama
Hii miguu mbn ya mselaJF usiku wa manane naombeni dawa ya kuondoa haya mataka taka miguuni kwangu yananikata kinyama
Ulivyokuwa @ hata najua basi ulikuwa mpole.La hasha sio mimi π
Mimi mpole na mkalimuπ₯°
Labda nimfundishe siasaπ
itapendeza zaidiWe kwahiyo km vipi nije nazo take away divai hz
ndo kitu nisicho kitaka sasaHii miguu mbn ya msela
Nina account mitandao mingine kuanzia IG FB JF WhatsApp kasoro TicktockKwani wewe una akaunti Mitandao mingine si ni huu tu JF au π€£π
Hahahaha,sawa sawaitapendeza zaidi
kizungu ni meyoπin other words; Location access granted?
Jikubali. Mbona dosho12 amekukubali na amekuelewa...dalili moja wapo ya uchawiπ,, nataka niwe na soft legs sio yenye manyoya
tayali nimetumaπEm nitumie tena picha ya huo mguu nione vizuri tatizo ni nini π
Safi SANA nipe akaunti name nije kuona Bidhaa za kukuungishaNina account mitandao mingine kuanzia IG FB JF WhatsApp kasoro Ticktock
Nafanya biashara ya karanga za kuchemsha so inabidi nijue kuhusu wateja wangu wa kila sehemu
Soma tena kama hujaelewa
Njoo bana,πaiii siasa siziwezi Walah mi napenda upuuzi tu 24/7 yani sipendi kuichosha akili yanguπ€£π€£
Bidhaa ni karanga za kuchemshaSafi SANA nipe akaunti name nije kuona Bidhaa za kukuungisha
Pole sanatayali nimetumaπ
asante nishapoaPole sana
nehi πNjoo bana,π
Mie nazipataje bei gani, ndio Hizo wanaita za Mechi?Bidhaa ni karanga za kuchemsha
Mimi hapa. Unaamuaje?wait nani kasema hajikubali?
sina cha kusema ila nina cha kukufanyaMimi hapa. Unaamuaje?