UWATAUmoja wa Walinzi Tanzania.
Lala0048
mimi ni team mapopo πLala
Unataka kufanyanini usiku humu?mimi ni team mapopo π
sina cha kufanya zaidi ya kujichatisha mpka napitiwa na usingiziπUnataka kufanyanini usiku humu?
Karibu nyuma ya dj hapa upate kinywajisina cha kufanya zaidi ya kujichatisha mpka napitiwa na usingiziπ
Nimejikuta mzungu nikanywa kahawa, nimeangalia movie mpaka imeisha ila bado natumbua macho tuπ«sina cha kufanya zaidi ya kujichatisha mpka napitiwa na usingiziπ
πππ pole sana mwanetuNimejikuta mzungu nikanywa kahawa, nimeangalia movie mpaka imeisha ila bado natumbua macho tuπ«
asante palacKaribu nyuma ya dj hapa upate kinywaji
Usiende atakuibaasante palac
usijali hata siwezi kwenda kabisaUsiende atakuiba