mimi taayari sitaki tena! 🤣jamani si nitaogopa kuolewa sasa😪,, enweeei nitaitafuta maana kesho nitakua na mda wa kutosha kabisa
eh tuendelee na ile issue tuloiacha pending😜😊
hutaki tenaaa 😅 nimechekaaaa we tulia hapo Mungu atakurudisha kwa alie kutoa mpka ukapatikana wew,,,mimi taayari sitaki tena! 🤣
issue gani shoo.. uzee nao😵
mbwa yule kaoa december nilipoondoka! 😤hutaki tenaaa 😅 nimechekaaaa we tulia hapo Mungu atakurudisha kwa alie kutoa mpka ukapatikana wew,,,
si hiyo ulosema sijui mlevi kafanya nini huko
basi hakua wako, yupo mwingine sema ndo hivyo anapiga umalaya tu kama wangu🤣🤣🤣🤣mbwa yule kaoa december nilipoondoka! 😤
nishakutag we tena! ukasome madudu ya shemeji yako!
napenda ila sio kihiiiiiivyo😜unapenda umbea! acha tusukume masaa.. 🤣
Ni mbwa hawa unajua eenh? shenzi kabisa 🤣basi hakua wako, yupo mwingine sema ndo hivyo anapiga umalaya tu kama wangu🤣🤣🤣🤣
ukalale sasa..napenda ila sio kihiiiiiivyo😜
naanzaje kushindwa kujua? hapa ni kupigia mstari mkuubwa🤣🤣Ni mbwa hawa unajua eenh? shenzi kabisa 🤣
well well.. uko makini!naanzaje kushindwa kujua? hapa ni kupigia mstari mkuubwa🤣🤣
polee, kesho una ratiba gani kwanza nisije nikakupa dawa ukasinzia mpka keshokutwaDaah rafk angu macho yanauma sijalala toka jana, nimelala kidog saa3 mpk saa5 asubuh
tuungane wote maana ni nduguyo pia👌 umtafutie ka mamsi kawe kana mchangamsha 🤣msaidie kaka angu huyu sijui nini kinamsibu!
Thanks, asubuh nzima sina ratiba Nitakuwa nimedoz(kama usingizi ukiitika😁) ila byy saa 5 am outpolee, kesho una ratiba gani kwanza nisije nikakupa dawa ukasinzia mpka keshokutwa
hiyo saa out ya saa 5 ni issue ya msingi au ni kurefreshThanks, asubuh nzima sina ratiba Nitakuwa nimedoz(kama usingizi ukiitika😁) ila byy saa 5 am out
Seran ananikimiaga huyoo😂tuungane wote maana ni nduguyo pia👌 umtafutie ka mamsi kawe kana mchangamsha 🤣