GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,836
- 18,504
Niko sehemu ambayo hakuna hizo sehemu za kujitoa out.hauna marafiki wa kuzungumza nao? au mda mwingine uwe unajitoa out ubadilishe mazingira
ni vizuri pia, eh ni wapi huko ambako hakuna sehemu ya kujitoa outNiko sehemu ambayo hakuna hizo sehemu za kujitoa out.
Marafiki sina.
Nilikuwa nafikiria leo labda nianze kuwa naenda uwanjani kucheza mpira.
What do you think?
Hapa hapa Tanzania.ni vizuri pia, eh ni wapi huko ambako hakuna sehemu ya kujitoa out
na wew unafanya nini huko si uhame tu jamaniHapa hapa Tanzania.
Hii nchi ni kubwa, kuna sehemu waweza jiuliza watu walitafuta nini kuja kuishi huku
sa kwanini unawashauri wengine wabetMimi nikibet tuu nitaliwa.🙃
.
lazima niwe hapa kwa muda fulani then nirejea nilikutoka.na wew unafanya nini huko si uhame tu jamani
Ndio masharti yenyewe mimi siwezi kubet ila naweza kiwaambia wengine wabet.sa kwanini unawashauri wengine wabet
lete hiyo pesa nikubetie😎Ndio masharti yenyewe mimi siwezi kubet ila naweza kiwaambia wengine wabet.
oooh sawa Mungu akufanyie wepesilazima niwe hapa kwa muda fulani then nirejea nilikutoka.
Unataka nibet mara mbili.😆lete hiyo pesa nikubetie😎
hapan mimi ndo nabet😂 sio wewUnataka nibet mara mbili.😆
Ameen,oooh sawa Mungu akufanyie wepesi
Nabet kukupa hela na still unanibetia.hapan mimi ndo nabet😂 sio wew
oukyyyAmeen,
Hey asante kwa muda wako
Ukutoroka lindo, upumzike salama.
Nabet kukupa hela na still unanibetia kwahapan mimi ndo nabet😂 sio wew
Kichwa kimechoka ngoja nipumzkieoukyyy
sawa pumzika mi bado niko machoKichwa kimechoka ngoja nipumzkie