JamiiForums Usiku wa manane

04:00AM Mwanza

Nani anasema eti chombo ni ya fundi?
Nani anaunganisha ukuta kwa gundi?
Nani hamjui eti mwanamalundi?

Na nani analeta maneno ya kanga?
Nani hajui kuwa MUNGU ndio anapanga?
Nani hajui kuwa mi natoka Mwanza? Nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…