JamiiForums Usiku wa manane

Yes bora hukuingilia kipenzi. Matusi ndiyo silaha ya wengi. Ila hayalipi bill so uchungu uko palepale 🀣🀣🀣🀣🀣
namimi nkishaona matusi nakimbia kabisa πŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚
 
Ndiyo nikaona nikatishe yale mashambulizi. Si ukaona kimyaaaa
nili ignore coz alkua anantia hasira yaan naandka matusi nafuta,,akawa anaendelea,badae nkaona kmya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ asante bwan,,
 
simjui wala hatujuani,ila kisirani maneno ya ovyo nkalima ignore, uuuuweeeeh si akaniandalia id nyingine πŸ˜†πŸ˜†unakua kama huwajui watu wa jf wakikuamlia
Ooh kumbe, sikujua alikusumbua na ID yake nyingine pole jamani. Nilichojifunza, mtu akianza kukushambulia usijibu. Mkalie kimya, atatukana atachoka. Kuna mtu ananitag kila comment, utasema nina figo yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mi nsha ignore watu wa nne sasa,na sjui wanatokea wapi,,sasa utakuta simjib ila hasira zinanpanda balaaπŸ˜‚πŸ˜‚na ignore naachana nae,,ila bora wali mute coz ile id ilkua inapta na yeyote atakae ni tag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…