Nilikuwa kwa boda aisee maana dahUpo kwa boda ππ
Bado hamsikiagi kuhusu boda ππππππNilikuwa kwa boda aisee maana dah
Sasa tupande nini tusio na magari?Bado hamsikiagi kuhusu boda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bajaji ety ππππSasa tupande nini tusio na magari?
Hapo angalau umenena. Haya tutakua tunapanda vibajaji.Bajaji ety [emoji119][emoji119][emoji119][emoji23]
Boda ni hatareee kwa afya plz..Hapo angalau umenena. Haya tutakua tunapanda vibajaji.
[emoji23] sawa rafiki nimesikia,nitaacha.Boda ni hatareee kwa afya plz..
Bado tunakuhitaji huku wana jf sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Saaafiiiiii nimefarijika kusikia hivo ππππππππ[emoji23] sawa rafiki nimesikia,nitaacha.
Since 2023 unamnanga kijana wa watuHivi kwa nn ulimtosaga hiyo afu tatu aliyokuomba?π
π€£π€£ππ unajua hata ukipata ajali utasema siipandi tanaa ila ukishapona tuu kama kawaa.Bado hamsikiagi kuhusu boda ππππππ
Mkuu wewe hujawahi elewi kuhusu boda etyπ€£π€£ππ unajua hata ukipata ajali utasema siipandi tanaa ila ukishapona tuu kama kawaa.
Muda huu nipo miembeni chips π njaa niko na boda