Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,210
- 83,114
Nishamsamehe kaka ila lazima apate Haki yake ile haiwezekani avunje Sheria za jukwaa ananitukaniia mama yangu aiseeMsamehe yule jamaa ni mtu poa. Hafu ana madini sometimes sema ugumu wa maisha tu. Sometimes zinamruka.
NahisiAtakua ana ID mbili yule lazima. Kumpa ban mtu poa yule dah.
Hahahah dah.. mi mtu akiniudhi namtukana inbox huko mods hawaingilii.Nishamsamehe kaka ila lazima apate Haki yake ile haiwezekani avunje Sheria za jukwaa ananitukaniia mama yangu aisee
πππ Wamasai siosisi walinzi hatuna jambo tunapenda kazi yetu
mahi buroo anaomba kuona ufigure portablenakataaaaaaaa
Nishamsamehe kaka ila lazima apate Haki yake ile haiwezekani avunje Sheria za jukwaa ananitukaniia mama yangu aiseeMsamehe yule jamaa ni mtu poa. Hafu ana madini sometimes sema ugumu wa maisha tu. Sometimes zinamruka.
Uchat ugundue nn. We weka picha au comment upewe haki yako.Khaa hivi kuna kuchat kule au wee una comment na kutokomea πππ
Kule mkuu mbona tunatoa vitu. Kuna ile moja ya kutunga sentensi kwa id za watu dah n hatar sanaKhaa hivi kuna kuchat kule au wee una comment na kutokomea πππ
Tatizo sio wao, tatizo wateja. πππMkuu hiv wao hawana kwaresma wala ramadhani?
π€£ππππ ππHahahah dah.. mi mtu akiniudhi namtukana inbox huko mods hawaingilii.
Dah kumbe mkuu we ndo umesababisha mkuu kapgwa pin. Dahhhhhhhhπ’Nishamsamehe kaka ila lazima apate Haki yake ile haiwezekani avunje Sheria za jukwaa ananitukaniia mama yangu aisee
Ile naipata mkuu an ile nilikua naunga unga tuu kila siku...,πππππKule mkuu mbona tunatoa vitu. Kuna ile moja ya kutunga sentensi kwa id za watu dah n hatar sana
Hata akisikia hana jambo, tumfanyie graduation mganga wako dihawoiii acha bas shadow wangu asije akasikia[emoji2960]
Kumbe tuna nesi humu....ndioo na kuna nesi wa zamu Uchira 1
DHambi unapata na hela unatoaπ€£Tatizo sio wao, tatizo wateja. πππ
Humu matusi hayatakiwi mkuuu ukitukana mods watakupa Haki yakoDah kumbe mkuu we ndo umesababisha mkuu kapgwa pin. Dahhhhhhhhπ’
Dah kumbe mkuu we ndo umesababisha mkuu kapgwa pin. Dahhhhhhhhπ’
Chawa pro max...β
23:45