JamiiForums Usiku wa manane

4:19 AM Jana mida kama hii nikasema nisile Daku niskilizie hadi saa 10 na Nusu,,, nikapitiwa na usingizi kwenye Kochi kushtuka saa 2 Asubuhi kidogo nilie…

Leo sirudii huo ukhanithi nakula sasa hivi πŸ˜‚
 
Ahahahahahaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna watu wanakula yaan ile ana maliza tuu dakika mbili na adhana hii hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Watu ni very matured kwenye timing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…