Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,718
- 5,350
Arsenal wameniweza macho mpaka muda huu na kesho nasafiri kuvuka mikoa miwili kwa private car. Wamenikera Sana ingawa game bado inaendelea Ila walipaswa wamalize kipindi mapema๐ฉNipo bro.. Arsenal wananichanganya uku
Second half ya extra timeArsenal wameniweza macho mpaka muda huu na kesho nasafiri kuvuka mikoa miwili kwa private car. Wamenikera Sana ingawa game bado inaendelea Ila walipaswa wamalize kipindi mapema๐ฉ
Mi nimeamua kuzimia TV, nitapata matokeo through live scores maana Arsenal ikifungwa sitalala kabisaSecond half ya extra time
Kaka nasikia baridi ghafla๐Mi nimeamua kuzimia TV, nitapata matokeo through live scores maana Arsenal ikifungwa sitalala kabisa
Haha kipa wa Porto ni mzuri Sana kwenye penalties.Kaka nasikia baridi ghafla๐
Tumefunga 4, wame kosa 2Haha kipa wa Porto ni mzuri Sana kwenye penalties.
Bora aisee. Now I can taste the goodness of a sleep.๐๐Tumefunga 4, wame kosa 2
Sem porto ni wazuri, wali wahi mtoa Juventus aisee.Bora aisee. Now I can taste the goodness of a sleep.๐๐
Mfano nani Sasa mkuu๐1:55
kuna watu kila siku nawakuta humu mnalala saa ngapi....maana mie huwa sichukui round naishia nikiamka Asubuhi nawakuta tena ...Duh
Mbona unauliza jibu๐....2:24Mfano nani Sasa mkuu๐