Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,590
- 11,394
Watoto wa sikuhizi hizi juhudi mnazoweka kuchombeza mashangazi mngezihamishia kuitoa CCM. walah tungewakuta kwenye viti vya enzi pia π€£ π€£ π€£ mxiiiiie kafwe mbele hukoLionelπ, ni vile tu we ni pisi Kali, ungekuwa una sura ya baba, ninge kutesaπ€
Naam bingwa wa ulinzi wa muda wote nipo, vijana wali force challenge Waka ishia kukimbiaππHope uko poa. Jahazi hakika linasonga
πMsichoke kutenda memaππ½
NakubaliNaam bingwa wa ulinzi wa muda wote nipo, vijana wali force challenge Waka ishia kukimbiaππ
Serengeti ulionea huruma hii ngorongoro kumbeππUgua pole Elon. π zingatia dose
Sema una pendaππ, halafu ushangazi huo vepeeπ€π€Watoto wa sikuhizi hizi juhudi mnazoweka kuchombeza mashangazi mngezihamishia kuitoa CCM. walah tungewakuta kwenye viti vya enzi pia π€£ π€£ π€£ mxiiiiie kafwe mbele huko
Huruma sio malezi π€£ π€£ Ngorongoro awahi mbele maniajeeπ€£π€£π€£πSerengeti ulionea huruma hii ngorongoro kumbeππ
Karibu kituo cha ulinziusingizi kushnei
Naamka na jf leoPamoja chief, nakaribisha challenge pia??.
Maana Lethergo ana mbwela m wela tuπ€
Wewe dogo Jana nimekunyoosha leo tena naenda kukunyooshaShida una Kelele ka mjamzito, kila siku naku twanga ila hukomi.
Mimi sioni haja ya kuweka challenge na mtu mwenye ubia na qfl dodomaπ€
ndio napenda Elon, utayakanyagaSema una pendaππ, halafu ushangazi huo vepeeπ€π€
π π π Nimependa aseeHuruma sio malezi π€£ π€£ Ngorongoro awahi mbele maniajeeπ€£π€£π€£π
Leta ushahidi kenge wee, we si ume lala saa 8 ??Wewe dogo Jana nimekunyoosha leo tena naenda kukunyoosha
01:18
Dah ππ, Raine Col pisi ya kwenda bhanaβ€οΈπ π π Nimependa asee
Intelligent tuanzishie na uzi na hili basiπ π
Sawa ngoja tuoneNaamka na jf leo
π€£ π€£ π€£ Hutaki kumshauri vizuri mwenzako π€£π€£π π π Nimependa asee
Intelligent tuanzishie na uzi na hili basiπ π