hesabu kuanzia 300 kurudi nyuma, usingizi utakuja
ushauri wa daktari huu
vyovyote tunihesabu nikiwa nmefumba macho au
Nilitegua hapo juuem tegua basi[emoji847]
vyovyote tu
Nilitegua hapo juu
niite mbwa😂na nisipo sinzia je?
Kwani ulimaanisha nini🙄😂nimetafuta hata sijaona em rudia tena[emoji56]
niite mbwa[emoji23]
Kwani ulimaanisha nini[emoji849][emoji23]
kweli huwezi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwasababu unajua siwezi si ndio?
kweli huwezi?
Aaah sawa nilikua naangalia CTN mkuukuach kitu ulichokua unakifanya kabla, na kuanz kuchart huk JF[emoji3526][emoji3526]
basi utanidai buku😂ndio
Aaah sawa nilikua naangalia CTN mkuu
basi utanidai buku[emoji23]
Niliwaza mengine kiswahili kina utata sanaahaaa hay ndio mambo yenyewe sasa niliy kuwa namaanisha....
Chai hiinmeshamaliza kuhesabu