financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,183
- 43,556
Ndiyo kazi yake mkuu, unataka ije kuliwa na nyenyere kaburini au iote kutu?πfinancial services utaliwa kimasihara mda sio mrefu
Dissing and appreciating ππ, hii ni response ya ajabuππ.Ndiyo kazi yake mkuu, unataka ije kuliwa na nyenyere kaburini au iote kutu?π
Ahsante kwa tahadhari mkuu, nipo makini pia, stories ni muhimu tunarefresh mind kidogo.
Sijadiss bana , just appreciation for the alert β οΈDissing and appreciating ππ, hii ni response ya ajabuππ.
πNyenyere SI ndo sisimizi??
Hahaa napika ila kulala ni kitu nnachopenda sanaSince young mi sio shabiki wa usingizi aisee.
Napenda kuishi hivyo tu, naeza kaa hata wiki nzimaπ.
02, Afu tuna tofautiana we wa kikeπ, wa kiume nalalaje siku nzima??
03, una pika kweli mkuu!?
Mkuu uki lala siku nzima, una pika saa ngapi??Hahaa napika ila kulala ni kitu nnachopenda sana
Sema hukoromi weeπ, na ukute una mapua- alooπππHahaa napika ila kulala ni kitu nnachopenda sana
Tuheshimiane, sio wote tuna puliza mpepeπmanigaaaaaaZ
ww si ndo sadali wa kati mkuuTuheshimiane, sio wote tuna puliza mpepeπ
Pusha mwenyewe ππww si ndo sadali wa kati mkuu
π€£π€£Pusha mwenyewe ππ