Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,405
- 114,808
Thank you so much dear.๐๐๐๐๐thank youu....happy new year to you too man.....
Kuvuka mwaka bila kutenda dhambi si kitu chepesi aisee......Glory to God....Leo nyapu imeponea chupuchupu...dadekiii.....
Oyoooooooooooooo๐
Line ya pili ni nzuri, japo sikumaanisha hivyounataka kuona sura yangu?
au unataka niseme 'heri ya mwaka mpya batamzinga'๐
Christmas pia niliponea kidogo tuuu....sema wananikuta sijawaka mwili๐๐Thank you so much dear.
Ila si ulidhanmmiria ๐, leo moto ungewaka haswa
Tufanye huu mwaka usiwake mwili kabisa ๐Christmas pia niliponea kidogo tuuu....sema wananikuta sijawaka mwili๐๐
Maccabi kanichania mkuuHeri ya mwaka mpya mkuu wa mikeka
Hatimaye tumeuona furaha yangu na wewe upo poaNipo hapa Plan....nasubiri muda ufike ndiyo nitoke sasa[emoji12]
Mshukuru Mungu yote ni kwa mapenzi yakeDjjjjjjjjj......waleteeeee
Nipo kwenye trend
Nasishuki ng'ooo!
Oyoooooooo[emoji48]
Amina Mkuu,vp mwaka huu umeendaje?โบMshukuru Mungu yote ni kwa mapenzi yake
๐ซข๐ซข๐ซขNgoja nifanye kiapo cha kuacha kupiga nyeto Leo....
Oyooooooooooooooo[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji138]
AAA, hii imeenda hii.....mwaka wa malengo makuuTufanye huu mwaka usiwake mwili kabisa ๐
Umeuanza vizuri mno
Sawa Dr kwa ushauri wakoKula mayai ya kuchemsha utalala tu, kama mimi hapa nimeshajikulia zangu manne usiku huu nataka kulala sasa[emoji18]
Utaweza? Baridi kidogo tayari unasaliti malengo yakoAAA, hii imeenda hii.....mwaka wa malengo makuu
Kweli mkuu kama vip nao uishe tuHuu mwaka unaenda kikomando sana, imagin saivi tu dk kibao zishakata๐คฃ
๐๐๐๐Huu mwaka unaenda kikomando sana, imagin saivi tu dk kibao zishakata๐คฃ
๐คฃ๐คฃ hee maana wengine ndoto zetu zinatimia 2025Kweli mkuu kama vip nao uishe tu
Huu ndiyo mwaka natarajia kuangaza angaza nipate mke mwema ambaye atanijali mimi mtoto wa mamkwe niwe na furaha kama alivyonikuta,ole wake aiharibu furaha yangu[emoji35]nitaungana na timu kataa ndoa.Amina Mkuu,vp mwaka huu umeendaje?[emoji5]
Huu mwaka ni fake bana๐๐๐๐
Watu wa uchaguzi ๐๐คฃ๐คฃ hee maana wengine ndoto zetu zinatimia 2025