JamiiForums Usiku wa manane

Kwanini saut yako niifananishe na mtumba wakati ni special?
🀣🀣🀣🀣 Umenifanya nicheke, wakati mshamba na bro ake wananisimanga na sauti yangu!!!
 
Bora wewe umenitia moyo sio wale watu wa chugga wananiponda 🀣🀣🀣🀣
Mimi sjakutia moyo mimi nimekwambia ukweli...anayekupa moyo anakupunguzia maumivu.
Mimi skupi moyo sasa nakupa ROHO

Sjuagi sauti mbaya kwa mtoto wa kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…