Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,405
- 114,811
usijali haikua taarifa ilikua ni swali ndio nimeona alama ya kuuliza π ππππ sorry mkuu, nimechanganya taarifa.
Umenichanganyaπππusijali haikua taarifa ilikua ni swali ndio nimeona alama ya kuuliza π π
haitojirudia tena mkuu ni tatizo la kiufundi tu π πUmenichanganyaπππ
nani muhuni?dogo muhuni sana
unafuta ushahidi sio
π€£π€£π€£haitojirudia tena mkuu ni tatizo la kiufundi tu π π
si yameisha mkuu? Kweli tena hayatojirudia π ππ€£π€£π€£
Sawa sawaπsi yameisha mkuu? Kweli tena hayatojirudia π π
mbona kinyonge au hayajaisha π πSawa sawaπ
sawa time keeper upige mwingi alafu kukikucha usinzie ukiwa unatembea π π02:26
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo sijakesha kanyonya alfajiri nimelala hadi sio poa, amkeni kumekucha na wewe Intelligent businessman kumeshakuchaKuna mdada mida yake ya kunyonyesha hii[mention]trudie [/mention]
Mi mbona ndo nilikuwa wa kwanza kuamkaππ€£, saa 11 na nusuπ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo sijakesha kanyonya alfajiri nimelala hadi sio poa, amkeni kumekucha na wewe Intelligent businessman kumeshakucha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo sijakesha kanyonya alfajiri nimelala hadi sio poa, amkeni kumekucha na wewe Intelligent businessman kumeshakucha