Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,411
lala macho mazuri yasipate shida02:06
Usingizi unagoma kabisalala macho mazuri yasipate shida
naskia mchuzi wa bamiya unasaidiaUsingizi unagoma kabisa
au ndio unamlinda Intelligent businessman asiibiwe na mishangazi πUsingizi unagoma kabisa
Nitajaribu, ila usiku wa juzi na jana nililala vizuri kabisa though ni kwa muda mchache.naskia mchuzi wa bamiya unasaidia
alikuja kukugongea yule mchumba?au ndio unamlinda Intelligent businessman asiibiwe na mishangazi π
π€£π€£π€£ huyo yupo kwa nuzulati sijui.au ndio unamlinda Intelligent businessman asiibiwe na mishangazi π
natania wee usijaribu inaleta genyeπNitajaribu, ila usiku wa juzi na jana nililala vizuri kabisa though ni kwa muda mchache.
Kwendaπ. Nitajaribu maziwanatania wee usijaribu inaleta genyeπ
jana bando liliwahi kukata umeme ulikatika simu ikazima, usingizi mbona ulikuja chapKwendaπ. Nitajaribu maziwa
Aisee, heri weweπjana bando liliwahi kukata umeme ulikatika simu ikazima, usingizi mbona ulikuja chap
ushaibiwa kumbeπ€£π€£π€£ huyo yupo kwa nuzulati sijui.
Kitamboushaibiwa kumbe
ila sie tupo hatuibikiKitambo
ππ wewe si umeamua kuwa single?ila sie tupo hatuibiki
usione kichakaila sie tupo hatuibiki
mbona hizo taarifa sina π π ila watu kumbe nipo single na hamsemiππ wewe si umeamua kuwa single?
π π kivip mkuuusione kichaka
πππ sorry mkuu, nimechanganya taarifa.mbona hizo taarifa sina π π ila watu kumbe nipo single na hamsemi