National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
ila woteee hawamfikiaaa naniiiii π π π π ... anajijuaaaHahaha kuwa makini tu mi missy gf sijamuona
Ila cute wife ana bonge la sura duuh kama mrwanda vile asee alafu sura yake iko tight kama ya binti mchanga.
Yaani ipo gado sana asee
njoo hapaWapi pame kick muda huu,nitimbe kupoteza muda wa lindo
Wapi?njoo hapa
Anajijua kweli kweli anajijua vizuri sana my lovely auntiee ni mtamu mpaka basiila woteee hawamfikiaaa naniiiii π π π π ... anajijuaaa
utaweza kuja we mzeee.. π πWapi?
naskilizia apite na comment πupo nae kwa bed.. au unasikilizia afanye ku like comment πππ
Kama naeza kwenda porini hukoo na kurudi mzima,nishindwe mjini?utaweza kuja we mzeee.. π π
π π π πnaskilizia apite na comment π
kuna watoto wana mwagaaa radhi hapaaa.. utaweza vurugu za vijana ... hawana aibu kabisaa.. hapa kama las vegasKama naeza kwenda porini hukoo na kurudi mzima,nishindwe mjini?
naskilizia mkuu kama unamjua mshtue aje apite nayo chap kwa harakaπ π π π
sikilizia ata like hata alafajiri
00:4112:14 AM
twende kazi
wamefunga PM sasa π π π tutafikajenaskilizia mkuu kama unamjua mshtue aje apite nayo chap kwa haraka
Wapi?kuna watoto wana mwagaaa radhi hapaaa.. utaweza vurugu za vijana ... hawana aibu kabisaa.. hapa kama las vegas
waache wafunge miaka 40 ikifika waanze kutusumbuawamefunga PM sasa π π π tutafikaje
π π π π hili nenooo... walishike na badae watakuja kumbuka hii comment yakowaache wafunge miaka 40 ikifika waanze kutusumbua
anzia hapa dumbukia, ingawa hapo nimetoka naeleka masakiWapi?
sijasema kwa ubaya lakini wasijenishambulia.π π π π hili nenooo... walishike na badae watakuja kumbuka hii comment yako
Nasikia Dahan kawa tajiri... anasoma tu comments basi π π
π π aje atueleze namna ya kuwa tajiri nasisi tusome comments tuNasikia Dahan kawa tajiri... anasoma tu comments basi π π