mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,598
usiamini youtube mzeeπNimekutana na video YouTube.
Kupika keki kwa kutumia Roce cooker.
Nimejichanganya.. Ndio nipo nakula ugali wangu πππππ
Mzee sio kila kitu chakujaribuNimekutana na video YouTube.
Kupika keki kwa kutumia Roce cooker.
Nimejichanganya.. Ndio nipo nakula ugali wangu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
safiππΎHapana nmetulia t nyumbani
Nina usikunmrefu leo πππMzee sio kila kitu chakujaribu
acha tu, ajali π₯²usiamini youtube mzeeπ
Pop corn zikwapi Sasa?12:00 AM
mshamba leo nakesha
View attachment 2688302
Ms eyes To yeye Dahan Joannah Half american tuchangamshe lindo.....
[emoji897][emoji897][emoji897][emoji897][emoji897]Pop corn zikwapi Sasa?
sio lazima bana, ni anasaπPop corn zikwapi Sasa?
Asanteπ[emoji897][emoji897][emoji897][emoji897][emoji897]
kwema mzeeDaah long time sana sijapita hapa,hamjambo walinzi
KaribuAsante[emoji18]
Unaona Sasa matokeo ya ubahili,unakuwa bahili Hadi Kwa we mwenyewe πsio lazima bana, ni anasaπ
Kwema kabisa mkuukwema mzee
Anataka kuwa tajiri,maana matajiri wote ni wabahili acha atimize ndoto ππUnaona Sasa matokeo ya ubahili,unakuwa bahili Hadi Kwa we mwenyewe π
Sheria mpya ukifika hapa lazima update kibali Cha utambulisho kutoka Kwa mkuu wa lindo constebo mshamba_hachekwiDaah long time sana sijapita hapa,hamjambo walinzi