JamiiForums Usiku wa manane

Afu hii aga inanichosha sana kuendelea kuwapenda hawa Wenzetu. Yani Rungu kwao kama maji akitaka tu ametiwa.
Bora nyie popote kambi. Sisi tunachagua mpaka nimfeel mtu pia
 
"Mwenye Geto hana Demu" ndio wewe sasa. Ko wewe Geto lako la kuazima masela tu na kupandia Mnazi?
Apana mkuu mimi ghetto langu siazimi kwa mtu kwanza hakuna rafiki anayepajuwa nilipopanga huwa na ishi kiprivate sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…