Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,405
- 114,811
Makini sana mkulungwaAu sio unyama mwingi mtu mbadiππππ
Mi wananifundisha matusiKumbe ikifika mida kama hii mnaongeaga mambo ya ajabu ajabu ππππ
hii timu ya
To yeye
Half american (kiongozi)
Dahan
mshamba_hachekwi (kanafata mkumbo)
masai dada (chipukizi)
Vijana wa daslam hovyo kabisa ππππππππππ
Ngoja waje wale wa no malice..... Sijui nao hovyo waki ongozwa na Intelligent businessman
πππSasa we kajaribu shauri yakoππππAu sio unyama mwingi mtu mbadiππππ
Dahan mtubadi nimeelewa hapo maunyama yani...πππKwan ukiziba pua unapumulia nini πππππ... Mbona unauliza vumbi stoo mzeeππππ
Chipukizi ambaye unnakuja kwa kasi ya unyama ππππMi wananifundisha matusi
Poa sana πππAuntiee nimefika za weeknd ππ
Kama lipi umefundishika ?Mi wananifundisha matusi
Majina gani sasa hayo ππππππMakini sana mkulungwa
Hahah wananikuza mimi under 18Chipukizi ambaye unnakuja kwa kasi ya unyama ππππ
Unavyopenda kucheka sasa ππ, u buheri wa afya na hii baridi π₯Άπ₯Άπ₯Άπ₯ΆPoa sana πππ
Jiite mwenyewe sasa ππMajina gani sasa hayo ππππππ
Mbona hilo limekaa vibaya mi natka lile lile (unyama mwingi mtu mbadi)
Jamani mbona hakuna matusi π²π²Mi wananifundisha matusi
Nyama nyingiii ugali kidogoKama lipi umefundishika ?
Nikajaribu kutafuta vumbi stoo...πππSasa we kajaribu shauri yakoππππ
ππ Huu ni uongo bhanaHahah wananikuza mimi under 18
Yaani itakua ni matatizo ya akili, mie na kucheka tenaπππ.. Sisi wazima kabisaUnavyopenda kucheka sasa ππ, u buheri wa afya na hii baridi π₯Άπ₯Άπ₯Άπ₯Ά
Kula nyama, nyamaaaza πNyama nyingiii ugali kidogo
Ndo hivo utajua tuu...Hahah wananikuza mimi under 18
ngoja nilale kabisaKula nyama, nyamaaaza π