Asssantreeeeeeeeeehhh!Uko vizuri sana Ankol. Mimi bila msaada wa Alarm, mtu kuniamsha ama kama hivi simu mmmh napitiliza. Labda niwe nimekunywa kidogo sana my limit naamka. Jana vibe kubwa niliendelea tu. Kila wakitaja Yanga ndiyo walinivuruga ππππππ
Daaah hapa home walizingua sana yani leo pasinge lalika humuYanga wamefanya nikeshe kesho sina kaz .
Mtakubali
Unadoji sanaHayaa mkujeee now... [emoji23][emoji23][emoji23] Bro National Anthem and sisy Bantu Lady
We lala tuu... Hatuamshi waliolalaπππUnadoji sana
01:23 bora kulala tu
Usinihusishe dhambi zako ndogo ndogoπππhaya askari tuimbe, "geto kaja mwenyewe kwanini aondoke kama alivyokuja"
welcome back.... umepotea Intelligent businessman ameteseka sana πUsinihusishe dhambi zako ndogo ndogoπππ
Hongera sana mkuu huko uliko.. Uku kwetu vumbi tuu saa hiiπππ1:29 mvua zinanyesha hapa mahali.
Ahaah sidhan πππ Intel ako na ndege wake flani hivi anaetesekeaπππwelcome back.... umepotea Intelligent businessman ameteseka sana π
I mean no malice to nobodywelcome back.... umepotea Intelligent businessman ameteseka sana π
Yupi Tena jamaniπ€πππAhaah sidhan πππ Intel ako na ndege wake flani hivi anaetesekeaπππ